Labda kama unaongelea kazi zingine tofauti na kuosha magari kwenye hii nyanja kibarua anapata kutokana na kazi aliyofanyaCheap labour anaondokaje na pesa yote hiyo cheep labour mshahara wake ni elfu tano kwa siku na chakula cha buku na chai ya buku kama mnaenda mpaka jioni pia utampa buku ya chakula, yan kimsingi cheap labour hatakiwi kuondoka na zaidi ya 10,000/= kwa siku ili asije akafanya maendeleo akakukimbia , mlipe kijana pesa ambayo itamlazimu kila siku aje kazini na huku uki train vijana wengine chipukizi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo una vjana kama watatu au watanoHiyo unit nyingine unafungulia kwa hela gan kama hii moja tu mnagawana pesa mkuu?yaan mapato tupate 60000 wewe uondoke na 28000 mie 32000??
Maji kwa mwezi 200000/
Umeme siku 5 5000/
Kodi 80000/@monthly
Kwahyo hapa nan anaumia??[emoji57]
Carwash kupata faida 80 au 150 kwa siku inawezekana kabisa hilo sikatai tatizo unapokuja na hesabu za kwamba ohh ukiosha gari kumi kwa elf5 tayari ushaingiza elf50 mkuu haipo hivyo kitaa gari mpaka zinaoga kwa elf mbili na hata ikioga kwa elf5 elfu tatu ndo ya ofisi haya yote jamaa hujamfafanulia kuhusu hiyo m3 pia inaweza tosha pengine tayari labda unaeneo la mjomba lina jamvi kabisa na kakimvuli hata cha mti so hapo utaihitaji mashine, tank, stata na gharama za kuvuta maji au kuchimba kisima hapo na chenchi inabaki kabisaBoy I don't talk about business am talk about business location... Haijalishi unajua kihasi gani concern yangu kwajamaa ili strictly kwenye location ya biashara unaiwezo wakukupa hiyo faida kwasiku.
Ninaweza kuziTags Carwash kadhaa zinazopata zaidi ya 80K kwasiku hilo sio suala la kuijua iyo biashara.
Ikibidi uNote passage yangu kwanini nimestop na jamaa.
Then suala la M3 kutosha unataka tulazimishe kunya mavi ya Tembo ndio pesa iliyopo mezani kama kuna 30M weka.
Portfolio | 2020
Maji unit 3...umeme...kodi...usisahau na mm natakiwa kujilipa..! UjingaHapo una vjana kama watatu au watano
32000×5= 160,000
Shida iko wapi mkuu,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani niione iyo frezer iliyomodifaiwa, au wapi wanafanya hayo maujanja?ICE CREAM
Kuwa na vijana 5 wape piece 100 kila mmoja wawe wanakuletea 8000 kila mmoja kwa siku=40,000/=
Ukiwa na freezer 2 zilizomodifaiwa kwa kuwekwa pipe za gesi kwa ndani utapga vzur kaz
Sasa mkuu ukishaichukua hiyo sukari unaenda kuiuzia wapiKuna biashara ya Sukari 25Kg kwa Dar inauzwa si chini ya 56.000/= ila kuna chimbo ni kiwanda kipya kimeanzishwa kinauza 36,000/=,laiti ningekuwa nataka kufanya biashara ningepiga huo mchongo.
Ila 3M mimi naonaga hela ya chai ,labda ufungue Mgahawa utakulipa tafuta eneo lenye watu wengi kama Ubungo,K/koo kwa Dar.
Ukitaka kuchukua yote ingia mzigoni mwenyewe, osha magari.Yaani mimi nikodi eneo...nilipimie maji..na luku...mwisho wasiku tugawane pasu kwa pasu? Si wehu huo...khaa..au hujaelewa
Naungana na jamaa kweli ni ukichaa yaani ofisi iingize labda milioni 2 kwa mwezi kama mapato ghafi, mfanyakazi achukue laki 9, ofisi ibaki na 1.1m!!bado utoe gharama ya maji, umeme, kodi, sabuni, leseni!! Ubaki na kama laki 4!!mfanyakazi ana laki tisa net?!!! Hakuna mgawanyo wa hivyo hata siku moja.Duu yaani unaingiza 35,000/= sasa ukichaa wake nini au ni Bakhresa wewe mkuu au unaina yako ya pekeyako yakuhesabu pesa.
Portfolio | 2020
Hakuna kitu kama hicho!! Sawa kuna biashara nyingi ambazo mnapeana utaratibu wa malipo, ila lazima wewe bosi ufanye utafiti kwanza wa mapato ya siku, angalau ndani ya wiki utakuwa umepata wastani wa mapato kwa siku ndio sasa mnakaa chini na kumuwekea kiwango cha kukulipa kwa siku, unajua hata kama itazidi itakuwa ni kiasi kidogo tu cha kawaida, mfano kwa siku ulizokaa umeona wastani wa mapato kwa siku ni kama 40,000, ukimwambia mimi nataka 30,000@siku,sawa, unajua anaweza akawa anabaki na 10,000-15,000 sio mbaya. Hata kwenye magari kote wanafanya hivyo, lakini wanakuwa wameshafanya utafiti. Mfano daladala tajiri anataka laki moja kwa siku, ujaze mafuta, huwezi bakiza laki moja kuwa ni posho yako ya kila siku, utacheza kwenye 30,000-50000 na siku nyingine mnakosa kabisa,usiangalie yeye atapata ngapi,jiwekee kiwango chako maisha kupeana kampan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama anapata kutokana na kazi anayoifanya lakini sio kugawana karibia 50-50?!!mbona sehemu nyingi tu vijana wanaoosha magari kwa mtu wanalipwa malipo kwa siku kutokana na makubaliano yao?? Na mala nyingi kwa siku haizidi 5000 kwa utafiti mdogo nilioufanyaLabda kama unaongelea kazi zingine tofauti na kuosha magari kwenye hii nyanja kibarua anapata kutokana na kazi aliyofanya
Sorry unaposema uzalisha unamaanisha mauzo au faida kwa sikuKama kichwa cha habari kisemavyo. Nina mtaji wa 3m/=. Walio serious na biashara, waaminifu, wapambanaji waje na IDEA tuzalishe 40,000/= kila siku. Iwe biashara halali tulipe kodi n.k.
KARIBUNI.
Hakuna anyeweza fanya ujinga huo, yaani pesa yangu, tugawane nusu nusu, kina mo, bakhresa, wasingeweza kuwa wanawalipa wafanyakazi wao kima cha kuanzia 6000 kwa siku, nauli na chakula humo humo!!
Kiongozi hiyo ndo mishe zangu hiyo freezer unaimodifai vp kiongozi?ICE CREAM
Kuwa na vijana 5 wape piece 100 kila mmoja wawe wanakuletea 8000 kila mmoja kwa siku=40,000/=
Ukiwa na freezer 2 zilizomodifaiwa kwa kuwekwa pipe za gesi kwa ndani utapga vzur kaz
Kiongozi hiyo ndo mishe zangu hiyo freezer unaimodifai vp kiongozi?
Hakuna sukari ya Bei hiyo,36,000 kwa kg 25
Namimi ndiomana nimemuuliza unaiuzia wapi hiyo sukari maana kama sio yamagendo basi nifake haifai kwamatumizi yabinadamuHakuna sukari ya Bei hiyo,36,000 kwa kg 25