Labda kama unaongelea kazi zingine tofauti na kuosha magari kwenye hii nyanja kibarua anapata kutokana na kazi aliyofanyaCheap labour anaondokaje na pesa yote hiyo cheep labour mshahara wake ni elfu tano kwa siku na chakula cha buku na chai ya buku kama mnaenda mpaka jioni pia utampa buku ya chakula, yan kimsingi cheap labour hatakiwi kuondoka na zaidi ya 10,000/= kwa siku ili asije akafanya maendeleo akakukimbia , mlipe kijana pesa ambayo itamlazimu kila siku aje kazini na huku uki train vijana wengine chipukizi .
Sent using Jamii Forums mobile app