Mtaji wa Tshs. milioni 3 uzalishe Tshs. 40,000/= kwa siku; njoo tufanye biashara

Kwasisi wavuvi,40,000 Ni faida ya samaki 40 tu,,profit margin Ni 1000 kila samaki,
Damka asubuhi mwaloni wahi wavuvi wanapotoka ziwani,baharini,
Tafuta gap sokoni hata kwa kukodi meza weka mzigo,
Au kuwa wholeseller wa samaki,kwa maana ya kununua kwa wavuvi unauza kea wauzaji wa reja reja ama wamama wanaokaanga samaki,
Weka profit margin ya 500 tu kila samaki,samaki 200=faida 100,000
Upo mkoa gani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unauwezo wa kujua location nzuri ya business basi kafungue saunna chap kidogo utapiga pesa, uwekezaji wake ni majengo tu!
 
Kwasisi wavuvi,40,000 Ni faida ya samaki 40 tu,,profit margin Ni 1000 kila samaki,
Damka asubuhi mwaloni wahi wavuvi wanapotoka ziwani,baharini,
Tafuta gap sokoni hata kwa kukodi meza weka mzigo,
Au kuwa wholeseller wa samaki,kwa maana ya kununua kwa wavuvi unauza kea wauzaji wa reja reja ama wamama wanaokaanga samaki,
Weka profit margin ya 500 tu kila samaki,samaki 200=faida 100,000

Nimekuelewa sana kiongozi...!
 
Consider photoView attachment 1377097

Huu ndio mkupuo mmoja ninaouzungumzia...angalia hapo kuna jumla ya magari 10 yanayooshwa kwa mpigo gari moja Kuosha 5000/= minimum hapo sawa kapiga 50,000/= cash kwa mkupuo mmoja nakama anapiga na service zingine maanake anafikisha 65000/= kwa mkupuo mmoja kwasiku mkupuo kama hiyo akiipata mitano(5) sawa na 300,000/= profit kwa siku.

Sasa location ninaouzungumzia mimi unaiwezo wakuosha magari matano (5) kwa mpigo kwamaana matatu kwenye Carwash-shade mawili nje ya shade kwapale Mcity ndio naonaga hivyo sana kwahapo ukipata mkupuo mitano (5) yakuosha magari matano (5) kwa mpigo sawa na 125,000/= ambapo profit unaweza pata 100,000/= cash kwasiku kwamahesabu hayo ukipiga minimum piga uwa hukosi 80,000/= kwasiku iyo ni ×2 ya pesa unayoitaka wewe.

Mlimanicity ni umelifata soko magari yako full muda wote.

Leo nilipanga kesho nikaulizie location moja pale naionaga ipo Empty mpango wangu ulikuwa kukodi nakuweka shade ila nifanye bila mashine ila ninaweza kuConcern mpango huu kwako tupige kazi na mashine.

Portfolio | 2020
Portfolio | 2020

Mimi nimekuja gundua kila aina ya biashara ina suit mikoa fulani.
Hii biashara Kahama ni zaidi ya ukichaa...
Ukiosha semi..kijana anachukua 7000/ tajiri anachukua 8000/
Ukiosha bajaji 3000..dogo anaondoka na 1500na ww 1500
Gari za kawaida km ni 5000 dogo anaonroka na 2000ofisi 3000!
Maji nalipia mimi..umeme nagharamia mimi...kifupi mwisho wa siku dogo anaondoka na 30unabaki labda na 35 iko hivyo carwash zoote sijajua wanatengenezaje faida...ni modal ya ajabu mno!..
 
Duu yaani unaingiza 35,000/= sasa ukichaa wake nini au ni Bakhresa wewe mkuu au unaina yako ya pekeyako yakuhesabu pesa.

Portfolio | 2020
 
Mimi nimekuja gundua kila aina ya biashara ina suit mikoa fulani.
Hii biashara Kahama ni zaidi ya ukichaa...
Ukiosha semi..kijana anachukua 7000/ tajiri anachukua 8000/
Ukiosha bajaji 3000..dogo anaondoka na 1500na ww 1500
Gari za kawaida km ni 5000 dogo anaonroka na 2000ofisi 3000!
Maji nalipia mimi..umeme nagharamia mimi...kifupi mwisho wa siku dogo anaondoka na 30unabaki labda na 35 iko hivyo carwash zoote sijajua wanatengenezaje faida...ni modal ya ajabu mno!..
Mkuu mbona hata Uber Ni hivyo hivyo, pasu kwa pasu na mmiliki..

Tuinuane jamani msitunyonye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo mkoa gani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo case study nilifanyia mwanza pale kamanga ferry,acha pale wanauza na majokofu,
Upande wa pili pale Kuna wamama huwahi asubuhi wanagonja wale wauza samaki jumla walete Kisha wao wanapanga pale baada ya kununua,
Ukirudia saa sita mchana unakuta wameshaanua biashara imeisha,kila siku ndo hivyo.
Kwa hiyo unaamua mwenyewe uwe unapanga ama unatoa samaki mfano kayenze unakuja kuuza kwa jumla Hapo kwa wachuuzi,
Ukitaka zaidi unazunguka wale wanaokaanga unachukua order unakuwa unawaletea daily,
 
GROCERY

-frame kwa mwezi let assume 200,000×6=1,200,000/=
Viti kumi 1@15000×10=150,00
Meza nne 1@30000×4=120,000
Sabufa ya 100,000
bia kreti 12 kila aina ya bia labda kreti mbili mbili hapo kwa bei sijui
Soft drink km soda, juice,grandmalt,redbull n.k
Hapo hela iliyobaki utanunulia vinywaji na haitaisha Sasa ukipata location nzuri uhakika wa kuingiza hii 40 upo tena na zaidi hasa Siku za weekend

Kwa Dodoma hii biashara inaonekana inalipa coz kila Siku mabar yanawatu na wamejaa siyo jumatatu wala jumamos mfano ukipata maeneo km
Kisasa
Area D
Site 1
Area c
Ukipata maeneo kama Hayo ukasogeza na chakula karibu unapiga hela
Not optimistic na hii..
 
Hiyo case study nilifanyia mwanza pale kamanga ferry,acha pale wanauza na majokofu,
Upande wa pili pale Kuna wamama huwahi asubuhi wanagonja wale wauza samaki jumla walete Kisha wao wanapanga pale baada ya kununua,
Ukirudia saa sita mchana unakuta wameshaanua biashara imeisha,kila siku ndo hivyo.
Kwa hiyo unaamua mwenyewe uwe unapanga ama unatoa samaki mfano kayenze unakuja kuuza kwa jumla Hapo kwa wachuuzi,
Ukitaka zaidi unazunguka wale wanaokaanga unachukua order unakuwa unawaletea daily,
Nimefika mwanza ila cjajua maeneo
Good idea to work with

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom