hapana kuzuia mtu kufanya kazi ya kutetea au kupinga jambo fulani, hiyo ni haki na Uhuru wa kila mTanzania 🐒
ile ya maana zaidi ni kuona kwamba unaona kabisaa, kitu kinakupa stress lakini unakomaa na kung'ang'ana nacho kama huna utimamu wa akili vile, na matokeo yake wengine mpaka wanaishia kujinyongaga., huoni kama hii ni kaz ngumu sana na nitatizo? 🐒
kwani huweza kufanya kazi uipendayo na ambayo utakua una uhuru nayo kuliko hii ya kukorogwa na kikokotoo tangu umeandikishwa kazini. sasa utafanya kazi kwa usahihi kweli wew? 🐒