Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

Unawafahamu watu wangapi walioridhika na kikokotoo?
 
sasa kama una akili timamu si utumie hiyo akili timamu yako kufanya kazi nzuri ikupendezayo , unang'ang'ana na hiyo kazi ambayo mwishowe kuna ya kikokotoo kwa nini sasa. ....

ni useless kabisaa, uvivu na uwoga tu wa maisha πŸ’

unababaika na kufedheheshwa kikokotoo kwanini sasa? Unaanza kazi na stress na huku unajiona uko timamu kweli?, ndio mwishowe mnajinyonga kwa kung'ag'ana na mambo ambayo hamuwezi kuyastahimiliπŸ’

kwan alipokua hana kazi hakua na wazazi, ndugu jamaa na marafik? ama hakuona ama kujua kuna kikokotoo kwa mujibu wa Sheria? au hajui kwamba Sheria pia zinaweza kubadilika kadiri inavyonekana inafaa? πŸ’
 
Kuna kiongozi mwenzake aliwahi kuwaambia Watanzania kama vipi wahamie Burundi.
 
Andiko lako zuri sanaaa. Lingekuwa zuri zaidi kama ungemshambulia Mtaka pekee bila kuihusisha CCM na Sirikali yake. Sidhani kama alitumwa na CCM au Sirikali.
Anamwakilisha nani kwenye mkoa anaouongoza?
 
Kwahiyo unashauri mawakili na wanaharakati waache kuwatetea watu kwa sababu wanayoyapinga hayawahusu! Huyu anayeanza kazi akipunguzwa au akifariki ndipo aanze kukikataa kikokotoo kinachomuhusu!
 
Kwahiyo unashauri mawakili na wanaharakati waache kuwatetea watu kwa sababu wanayoyapinga hayawahusu! Huyu anayeanza kazi akipunguzwa au akifariki ndipo aanze kukikataa kikokotoo kinachomuhusu!
hapana kuzuia mtu kufanya kazi ya kutetea au kupinga jambo fulani, hiyo ni haki na Uhuru wa kila mTanzania πŸ’

ile ya maana zaidi ni kuona kwamba unaona kabisaa, kitu kinakupa stress lakini unakomaa na kung'ang'ana nacho kama huna utimamu wa akili vile, na matokeo yake wengine mpaka wanaishia kujinyongaga., huoni kama hii ni kaz ngumu sana na nitatizo? πŸ’

kwani huweza kufanya kazi uipendayo na ambayo utakua una uhuru nayo kuliko hii ya kukorogwa na kikokotoo tangu umeandikishwa kazini. sasa utafanya kazi kwa usahihi kweli wew? πŸ’
 
Unawafahamu watu wangapi walioridhika na kikokotoo?
watumishi wachapakazi hodari nchi nzima, wameafiki kikokotoo hiki kwa mujibu wa Sheria. Na ndio maana wako na bidii na ari zaidi ya kufanya kazi ya umma na kuwatumikia wanainchi πŸ’

hata jimboni pangu wapo wastaafu wanainjoy sana kiinua mgongo chao baada ya kustaafu majuzi kwa kikokotoo hiki hiki kipya πŸ’
 
Ingekuwa hivyo usemavyo dunia isingekuwa na vyama vya kutetea wafanyakazi, badala ya kugharamia kuwatetea wafanyakazi kwanini wasishauriwe waache kazi.
 
Ingekuwa hivyo usemavyo dunia isingekuwa na vyama vya kutetea wafanyakazi, badala ya kugharamia kuwatetea wafanyakazi kwanini wasishauriwe waache kazi.
kufanya kazi kwa stress, ama kufanya kazi bila stress au kutokufanya kazi kabisaa ni uamuzi binafsi wa mtu, kulingana na alivyopiama manufaa na hasara ya atakachoaamua kukifanya. Hakuna haja ya ushauri, life forces na life realities zitakusukuma tu uamue mwenyewe πŸ’

Muhimu ni kuondoa hofu na woga na kuvaa ujasiri na bidii huku ukimshirikisha Mungu katika kila hatua, nyepesi au ngumu lazma utoboe. kuliko unafanya kazi huku unanung'unikaπŸ’
 
Na hicho ndicho kinamfanya ajione smart zaidi.
Akiendelea ataundiwa ajali ya kisiasa. Hapa nchini huwezi kuwa chama A cha siasa halafu chama B wakawa wanakusifu halafu chama A kisikufikirie vibaya.
 
Jimboni pako, una jimbo wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…