Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

Samàhani Mkuu Mimi ni mmoja wa waliokupinga. Leo Nakiri ulikuwa sahihi Sana.
 
Rc anakosea sana, walioanza kazi mwaka huu wana fear of future, wanawaona maveteran wanavyo pata shida baada ya kustaafu. Wanachohoji ni usalama wa mafao yao in the future
Huu ndo ukweli. Halafu anatokea mlevi mmoja aliyebebwa bebwa kisiasa hahusiki na mafao baada ya miaka 60 anawafokea wanaodai haki zào? Tukisema ukuu wa mkoa ni vyeo vya Takrima yeyote anaweza kupewa wananuna.
 
Kusema kweli Mtaka ndiye kiongozi pekee wa CCM nilikuwa namkubali lakini kwa utopolo aliosema nimeamua kumpuuza kama ninavyowapuuza viongozi wote wa CCM.
Hata Mimi nilimuamini kumbe CCM wote ni walewale. Dhuluma imegeuzwa haki na ukionekana unatetea haki yako unaitwa mhaini.
 
Humfahamu vizuri- wewe siyo mungu wake wala mama yake ACHA KUJIMWAMBAFY
 
Hivi huyu jamaa o level alimaliza pale Mwembeni sekondari iliyoko musoma? Au
 
Sasa mbona unasema aache kazi? Hakuna mwajiriwa anayekubaliana kwa asilimia mia masharti ya mikataba ya ajira, vifungu vingine anamezea.
 
Eeeh npo njombe na sielewi,, ngoj nkafatilie ntaleta mrejesho
 
Kutele
Kuteleza kwa ulimi kupo!
 
Hao ndio wana ccm sasa likitoka hapo linamsifia mama yao bibi chau kuji hakikishia nafasi yake wananchi wanaendelea kuteseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…