Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

Hapo kwa akili yako onesha huo ukweli aliosema.
 
We jamaa, hivi huoni kuwa huna akili kabisa! Bado unaendelea kujaza upuuzi kwenye uzi! Ume comment inatosha acha tusome na mawazo ya wengine pia.
kwanza kabisa mihemko na maneno yako mbofumbofu ikusaidie wewe mwenyewe, pande hii ni useless kabisa

jambo la pili,
daima siwezi kuchoka wala kunyamazia upotoshaji wa wazi hata kidogo, wala siwezi kuwafurahisha wavivu na walalamikaji kwa uvivu wao
 
kwanza kabisa mihemko na maneno yako mbofumbofu ikusaidie wewe mwenyewe, pande hii ni useless kabisa

jambo la pili,
daima siwezi kuchoka wala kunyamazia upotoshaji wa wazi hata kidogo, wala siwezi kuwafurahisha wavivu na walalamikaji kwa uvivu wao
Nimefuta post yangu hapo juu baada ya kuona post ya member mmoja kuwa unahangaika kujibu watu humu wengine ni zuzu
 
binti kiziwi katika ubora wake. Sisi watanzania tumejaa ubinafsi na ushabiki maandazi na pia harufu za udini. Hii inatufanya tusielewe hasa matatizo yetu kama nchi yanasababishwa na nini na tuyaondoe vipi. Huyu Mtaka sijui aliwezaje kuwaghilibu baadhi ya watu wakafikia kusema ni kiongozi mzuri. Mwanzisha thread anasema waliokuwa wanapinga siyo kiongozi mzuri eti ''waliona mbali'' kumbe wala haikuhitaji kuona mbali ili kujua ni wale wale. Inaonekana hilo tamko la Mtaka limegusa maslahi yake ndiyo maana anamgeuka sasa. Ubinafsi huu!
 
Hapa Mtaka amepotoka.
Hata hivyo, siyo yeye peke yake, ni fikra za viongozi karibia wote wa serikali na hata jamii kulingana na kiwango cha kustaarabika.
Kila mtu katika taifa ana wajibu wa kupigania haki yake na ya wengine.
Hoja aliyoitoa inashawishi ubinafsi na nia ovu dhidi ya wengine, tena kwa uwazi ambayo husababisha ubutu wa akili.
Hata watoto wadogo wanatakiwa wajue kuna mafao na yanaweza kuwa pungufu au makubwa, kikokotoo kizuri au kibaya, serikali yenye sera nzuri au mbaya,..... ili baadaye wawe raia wenye uwezo wa kujenga taifa lenye mustakabali mwema.
Hatuhitaji kufikiria leo tu. Hao walioajiriwa leo ndiyo watakaofanya maamuzi kesho.
 
Huwa yuko overrated sana
 
Itachukua muda sana kuelewa mambo kwa ufasaha katika jamii yetu, tena na hii new era ya uchawa ndio kabisa we are doomed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…