Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga bora pesa yako ukale mbusus sio kuchangia ujinga kama uhoVitu vilivyopigwa mnada ni vingi mnoo
Wao tayari wamejitolea utaalam wao, michango ni kwaajili ya kuendesha kesi. Ni kama fundi seremala akuambie, nunua vifaa tu, ila kabati nitalitengeneza bure bila kucharge gharama za ufundi.Kama unatetea rasilimali si ufanye kwa kujitolea? Hao mawakili wajitolee kuonyesha uzalendo
Wewe kazi ya kuwasema wanaochanga alikupa nani?Kwani ngoja nikuulize iyo kazi aliwapa nani?
Siwezi subiri hii biashara ishamiri I nchini.Acha ujinga bora pesa yako ukale mbusus sio kuchangia ujinga kama uho
Wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako watu wakichangia hela waliyoipata Kwa jasho Lao?Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha
Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu hii si sawa mjichangishe wenyewe uko acheni ujinga wakuomba omba michango kwa watz
Wanatapeliwa bila wao kujijua mnafuga matapeli kisa skendo unaona nisawaWewe unaumia sehemu gani ya mwili wako watu wakichangia hela waliyoipata Kwa jasho Lao?
Sawa changia mkuu changiaSiwezi subiri hii biashara ishamiri I nchini.
Bora nichangie mapema kufukuza Hawa jamaa
Mmekosa hoja Sasa mnaanza kupangia watu matumizi ya hela zao?Wanatapeliwa bila wao kujijua mnafuga matapeli kisa skendo unaona nisawa
Hoja ipi mzee wewe unaona sawa watu kutapeliwa sifa ya uzalendo unaijua?Mmekosa hoja Sasa mnaanza kupangia watu matumizi ya hela zao?
Kwnye familia yako unalinda rasilimali ngapi mkuu? Endeleeni kuwapa watu urajiHii ni kesi ya wananchi na walamba asali, kwa hiyo tuacheni wananchi tufanye yetu, kodi ngapi tunatoa na zinaishia mikononi mwenu, kuna shidagani mimi mwananchi kutoa 50k yangu kwa ajili ya kulinda rasilimali zetu zisiingie mikononi mwa walamba asali?
Hapo chadema wamehusikaje?
Kwnye familia yako unalinda rasilimali ngapi mkuu? Endeleeni kuwapa watu uraji
Acha maneno meeengi, changa hela! 🤭🤭🤭🤭🤭Unaandika "uhu" badala ya "huu", alafu unawaita watanzania wapumbavu?
Watu wanapambana kutetea rasilimali za nchi zisitupwe kiholela, wewe unawaita wapumbavu?
Wanatumia hela zako kuchanga?
Nichangie mara ngapi?Acha maneno meeengi, changa hela! [emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Ww nimekuuliza hao mawakili kazi iyo walipewa na nani?Nichangie mara ngapi?
Au na wewe unataka nikuchangie?