Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

Kama unatetea rasilimali si ufanye kwa kujitolea? Hao mawakili wajitolee kuonyesha uzalendo
Wao tayari wamejitolea utaalam wao, michango ni kwaajili ya kuendesha kesi. Ni kama fundi seremala akuambie, nunua vifaa tu, ila kabati nitalitengeneza bure bila kucharge gharama za ufundi.
 
Acha ujinga bora pesa yako ukale mbusus sio kuchangia ujinga kama uho
Siwezi subiri hii biashara ishamiri I nchini.
Bora nichangie mapema kufukuza Hawa jamaa
 

Attachments

  • FDA81B40-98F7-4D70-827B-E996A4B51550.jpeg
    33.9 KB · Views: 1
Wewe unaumia sehemu gani ya mwili wako watu wakichangia hela waliyoipata Kwa jasho Lao?
 
Hii ni kesi ya wananchi na walamba asali, kwa hiyo tuacheni wananchi tufanye yetu, kodi ngapi tunatoa na zinaishia mikononi mwenu, kuna shidagani mimi mwananchi kutoa 50k yangu kwa ajili ya kulinda rasilimali zetu zisiingie mikononi mwa walamba asali?
 
Kwnye familia yako unalinda rasilimali ngapi mkuu? Endeleeni kuwapa watu uraji
 
TLS tuambieni kuhusu mikataba ya hovyo iliyosainiwa
 

Attachments

  • 3825E2BE-92F4-44AE-967A-518C07760256.jpeg
    47.9 KB · Views: 1
Sasa watanganyika angalieni huu mkataba.
Nyie na DP World wapi na wapi
 

Attachments

  • 5DE1B10D-9283-465E-81BA-972CDDC7CFA2.jpeg
    27.8 KB · Views: 1
  • B3555AC5-5E2F-484B-86C4-64090E9E1875.jpeg
    47 KB · Views: 1
Nlikuwa naskia michango ila sikupata code za kutuma hyo hela! Ngoja nihakiki kama ndo hyo uliyoweka nitume walau 50k itawapush kidogo
 
Unaandika "uhu" badala ya "huu", alafu unawaita watanzania wapumbavu?

Watu wanapambana kutetea rasilimali za nchi zisitupwe kiholela, wewe unawaita wapumbavu?

Wanatumia hela zako kuchanga?
Acha maneno meeengi, changa hela! 🤭🤭🤭🤭🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…