Mtakaoenda Uwanjani kwa Mkapa kabla na baada ya kuingia ndani tukutaneni pale Baa ya Minazini tujuane tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE nitafurahi mno nikiwaona wana Simba SC Wenzangu wa hapa JamiiForums.

Nitakuwa nimekaa na Wachezaji Wastaafu ( wa zamani ) wa Simba SC ambao Fainali ya 1993 Uhuru Stadium mbele ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi tuliyosalitiwa na Azim Dewji walikuwepo na Mmoja wao ana Mwanya na alikuwa ndiyo Mbabe wa Marehemu Said Mwamba Kizota.

Karibuni.
 
Utavaa Dela rangi ya blue kama kawaida yako?
 
GENTAMYCINE nitafurahi mno nikiwaona wana Simba SC Wenzangu wa hapa JamiiForums.

Nitakuwa nimekaa na Wachezaji Wastaafu ( wa zamani ) wa Simba SC ambao Fainali ya 1993 Uhuru Stadium mbele ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi tuliyosalitiwa na Azim Dewji walikuwepo na Mmoja wao ana Mwanya na alikuwa ndiyo Mbabe wa Marehemu Said Mwamba Kizota.

Karibuni.
Hapa umepoa, ikitokea Simba akafungwa utakuja na tuhuma lukuki zisizo na kichwa wala miguu.
 
GENTAMYCINE nitafurahi mno nikiwaona wana Simba SC Wenzangu wa hapa JamiiForums.

Nitakuwa nimekaa na Wachezaji Wastaafu ( wa zamani ) wa Simba SC ambao Fainali ya 1993 Uhuru Stadium mbele ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi tuliyosalitiwa na Azim Dewji walikuwepo na Mmoja wao ana Mwanya na alikuwa ndiyo Mbabe wa Marehemu Said Mwamba Kizota.

Karibuni.
Ili ije Drone ya wasiojulikana pale na kushusha Kombora
 
Back
Top Bottom