GENTAMYCINE nitafurahi mno nikiwaona wana Simba SC Wenzangu wa hapa JamiiForums.
Nitakuwa nimekaa na Wachezaji Wastaafu ( wa zamani ) wa Simba SC ambao Fainali ya 1993 Uhuru Stadium mbele ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi tuliyosalitiwa na Azim Dewji walikuwepo na Mmoja wao ana Mwanya na alikuwa ndiyo Mbabe wa Marehemu Said Mwamba Kizota.
Karibuni.