GIPAMA
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 1,103
- 541
Ndugu wana jamiiforum, jukwaa la intelligence, amani na iwe kwenu. Naombeni kusaidiwa kujua jambo hili kwa kina na mifano tosherevu.
Nikirejea katika biblia kitabu cha zaburi 16:4 linasema, "Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora, hao ndio niliopendezwa nao"
Sasa naomba kufahamu
1. Utakatifu ni nini?
2. Mtakatifu ni nani?
3. Je, binadamu, mtu kama mimi naweza kuitwa mtakatifu?
4. Na ili niwe mtakatifu yanipasa kufanya yapi?
Ndugu zangu, nimeleta mada hii hapa ili nipate msaada utakaoniwezesha kupanua uelewa wangu. Naomba msaada wenu ila tujikite zaidi katika maandiko. Yaani pawepo na vivid example.
Asanteni sana.