Mtakatifu ni nani?

Mtakatifu ni nani?

Samahani
Najua Mungu hatafuti mtakatifu bali mdhambi ili awe mtakatifu
Hao wavuta bangi na wafananao bado hawajawa watakatifu anyhow suala ni moja kuwa hakuna anayezaliwa mtakatifu au kutengwa kwa utakatifu lakini baada ya kuzaliwa na kupata akili na maarifa sasa hapo harakati zako na Mungu zinapoanza ndipo huvushwa kutoka hali ya awali na kufanywa upya hii ni katika maana ya kiroho
Lakini pia hebu tujaribu kutafakari kuwa MTAKATIFU na kuwa MTEULE
Karibu

Nimejaribu kuelezea juu kidogo kule kwa sehemu niliyo weza kuijua

Kama kuna kitu kimepungua kiongezee tu sababu tuna fahamu kwa sehemu na si vyote

# hapo Mungu unaposema mdhambi ndio awe mtakatifu sikatai

Lakini kumbuka Mungu anajua huyu ni mtakatifu wangu nimemtenga kwaajil ya kusud fulani

Haijalishi sis binadamu tuna muona mdhambi vipi lakin Mungu anajua huyu ni wangu

Rejea juu kabisa ktk post zote nilizo tuma

Angalia Sauli alivyo kuwa ametenda mabaya kabisa juu ya watu wa Mungu

Na angalia anania alivyo mjibu Mungu kuwa mtu huyu anaua wamfuatao Yesu kwann nikampake mafuta

Angalia jibu Mungu alilo mpa.
Wakat nasoma huo mstari hadi nilichek nikamshangaa Mungu na kumuuliza maswali; akanijibu

Mungu akijibu hatoki nje ya Neno

Yeye haangalii kama binadamu waangaliavyo; na kumbuka wote ni watu wa Mungu

Hakuna anayependa mwanae apotee ; ( wazazi mtanielewa hapa)

Lakin yule mtu baki wa nje atamuuliza mzazi kwanini unafanya hivyo ni kwasababu ni mwanae

Wakati mwingine Mungu anaruhusu mambo yatendeke ili aonyeshe ukuu wake

Turudi mwanzo 4:21

Bwana akamwambia Musa; Hapo utakapo rudi Misri; angalia ukazifanye mbele ya Farao zile ajabu zote nilizo zitia mkononi mwako; lakini nitaufanya mgumu moyo wake; naye hatawapa ruhusa hao watu waende zao.

**Mungu alimwambia kabisa Musa ataufanya moyo wa Farao uwe mgumu

Kwanini?
Turudi

Mwanzo 10:1
Bwana akamwambia Musa; Ingia wewe kwa Farao kwa kuwa mimi nimeufanya moyo wake mzito; nipate kuzionyesha ishara zangu hizi kati yao

## Mungu aliruhusu kabisa ili aonyeshe ishara kati yao

Kuna mstari unasema ili Mungu aonyeshe ukuu wake

Watu wanaweza muita farao wa kipindi cha Musa ni mbaya saaana alitesa wana wa Israel
Turudi kusoma
Rumi 9:14

Tuseme nini basi? Kuna udhalimu kwa Mungu? hasha?

15Maana amwambia Musa; Nitamrehemu yeye nimrehemuye ; nitamhurumia yeye nimhurumiaye.

16. Basi kama ni hivyo; si katika uwezo wa yule atakaye; wala kwa yule apigaye mbio; bali wa yule arehemuye; Yaani; Mungu

17. Kwa maana maandiko yanasemaje juu ya Farao; ya kwamba; Nilikusimamisha mwa kusudi hili; ili nionyeshe nguvu zangu kwako; Jina langu litangazwe katika nchi yote.

Basi kama ni hivyo; atakaye kumrehemu humrehemu; na atakaye kumfanya mgumu humfanya mgumu.

## hilo ni Neno tu mojawapo ktk Biblia
Ili tujue kuwa Mungu hachunguziki

Anaweza ruhusu kitu kitendeke kabisa hata kama ni kibaya ili aonyeshe ukuu na watu wajue kuwa yeye ndio atawalaye

Hapo si uwezo wetu wa atakaye au apigaye mbio bali kwa Yule arehemuye yaani; Mungu

Kuna mtu aliniuliza farao yupo wapi sasa

Nikamjibu kwa Mungu sababu aliwekwa kwa purpose fulani tu

Turud ktk point ya muhimu sasa

Kuna kuwa mtakatifu kwa Neema; wengine wanatafuta kwa bidii

Turud kwa Sauli kwani alifanya juhud ipi?
Siku ambayo Yesu anamfuata alipewa waraka wa kwenda kuua watu

Hiyo ilikua siku yake ambayo Mungu alisha itenga kuwa leo lazima iwe hiv ma hivi

Aliye muumba ni Mungu hivyo alikua na uhuru wa kufanya chochote

Akageuka kwa Yesu

Turudi hapo unaposema hakuna aliye zaliwa mtakatifu

Sisi kwa macho yetu ya kibinadamu tunaona hivyo lakin mbinguni huyo mtu tayari kaandikwa Mtakatifu

Mungu anasubiria wakati wake tu ufike na na kumvusha

Wengine huwa wanaomba wapewe kitu ma Mungu na Mungu ni mwaminifu ukiomba anakupatia tu na lazima auchunguze moyo wako je utaweza beba utakacho letewa?

Tuje kiteule( kimeteuliwa) kipo maalumu kwa hiyo kazi; kiteuliwe = Kimetengwa kwa ajili ya kazi fulani tu
.mfano sufuria ya maji ya kunywa huwa hatuichanganyi na kitu chochote kile ktk kupikia

Tumeitenga kwaajil ya kuchemshia maji tu. Tumeitenga kutoka ktk sufuria nyingi

Tuje kiroho sasa kinapoteuliwa kitu kimetengwa na Mungu. Kitakatifu tayari haijalishi wewe unakionaje nje ila Mungu autangazaye mwisho had mwanzo anajua hichi ni kiteule changu/ kitakatifu changu

Sisi tunajua ku judge mambo ya sasa tu lakini ya sekunde ijayo hatuyajui

Isaya 46:10

Nitangazaye mwisho tangu mwanzo; na tangu zamani za kale mambo yasiyo tendeka bado; nikisema; shauri langu litasimama nitatenda mapenzi yangu yote

# Mungu anajua mwisho na mwanzo hata ambayo hayajatendeka

Hata ardhi inaweza kuwa Takatifu; ukaitenga ili umsikie Mungu akiongea na wewe . tena utaona kuna wepes wa ajabu wa kuomba na kumsikia Mungu;

Sio lazima iwe kanisani; nyumbani kwako unapoishi unaweza tenga chumba kama huna hata tu humo humo unaweza kata kipande kidogo kiwe kitakatifu kwa kuomba utapata kumsikia Mungu.

Sijajua kama nimepitia ktk sentensi zako zote; kwa sehemu kidogo niliyo nayo ni hiyo

Unaweza kuongezea pia ili tujifunze zaidi
 
Haya mambo ya utakatifu ni siasa za wakatoliki tuu hizi tena wengine waliitwa baba paroko or baba mtakatifu sijui lakini wengi wao ndio wabakaji na walawiti wazuri sana
Mheshimiwa, unauhakika na hcho.....!!
 
Amina. Ubarikiwe, kila mwenye ufaham atakuelewa, hata kama hatakubaliana na wewe ila atakuelewa.
 
Divine
Kuna kutengwa kwa kusudi maalum hii haina maana kwamba tayari umekuwa mtakatifu
Ni kweli mtazamo wetu na Mungu haufanani ila hauwezi ondoa maana ya uhalisia
Wakati mwingine huwa natafakari huyu aliyeenda kuandaa makao ya watakatifu hadi leo anaandaa tuu hivi ni utakatifu wa namna gani utakuingiza sehemu kama hiyo?
Nikajijibu ni bila kuwa na mawaa,kunyanzi na yafananayo ahaaa kumbe
Sasa huu utakatifu watu tunajaribu kuurahisisha kwa mitizamo tofauti na mwenyewe mtakatifu
Nikajiaminisha kuwa ni katika kutafuta kujiridhisha na kupata amani moyoni
Utakatifu ni kitu cha kipekee na cha dhamani sana ila hii yote inachangia na zama hizi kutofundisha tena haya mambo
 
Nielezee mtakatifu ni nani?

Mimi kwa sehemu yangu nimeelewa hivyo kama nilivyo eleza mwanzo sijui yote nafahamu kwa sehemu

# mbinguni hawaingii wachafu bali wasafi

Lakini hatuwezi mjudge mtu kuwa si mtakatifu au huyu ni mchafu

Sababu Mungu wa sirin anajua mwisho wa huyo mtu
Hatuwez jua mwisho wake na Mungu wake.
 
Back
Top Bottom