Naomba tafasiri ya hicho kizungu."Blessed is who has crucified the world, and who has not allowed the world to crucify him. He who has crucified it (the world) is he who has found my Word and has fulfilled it according to the will of him who has sent me".
Kama alivyosema mkuu Mshana Jr utakatifu ni kiroho zaidi na ni ngumu sana kuweka standard. mi naamini watakatifu wapo wengi sana na hata nje ya hizi dini zetu kubwa tunazo amini.
Thanks for coming dada long time no see youNahis nimejaribu kujibu kidogo hilo swali.
Nimejibu kwa sehemu ndogo niliyo pata neema ya kujua. Wengine watajaza sehemu zingine
Tunafahamu kwa sehemu na si vyote
Ah ah ah nimejikuta naandika tu na wakat nilitaka nipitie comment only. ThnxThanks for coming dada long time no see you
Ni muujiza umetendeka dadaAh ah ah nimejikuta naandika tu na wakat nilitaka nipitie comment only. Thnx
Asante na ubarikiwe. Kwahiyo sasa, mtu anaweza kujiita mtakatifu?Hata hapa duniani watakatifu wapo soma hiyo zaburi
Zaburi 16:3
Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora; Hao ndio niliopendezwa nao
Wapo watakatifu tena wengi tu
Sababu wapo wametengwa na kusudi la Mungu
Lakini usifikir pia hawana dhambi
Hapana; na wenyewe wanajinyenyekeza kwa Mungu kuomba toba/ msamaha ili Mungu awasikilize kwasababu bado wapo dunian hapa kuna makwazo; kuna vitu wanafanya bila kujua kuwa wanamkosea Mungu
Wana madhaifu kama binadamu wengine ; ndio maana uwaonapo hao hutakiwi kuwaonyeshea kidole ( kuna vungine ni dhambi imewashika)
Lakin wengine madhaifu
Na katik udhaifu Mungu anasema Neema yangu yakutosha
Nipo nang'ang'ana na Paulo
"Paulo alimsihi Mungu mara tatu atoe udhaifu wake; sababu alipata mafunuo mengi sana. Shetan akapata kiupenyo hapo hapo; alipata mwiba yaan kile kitu kilikua kina muuma kwann najisikia kujisifia sababu ya haya mafunuo
Ukiangalia Paulo aliandika vitabu vingi ktk agano jipya
Ona Mungu alivyo mjibu
2coritho 12:7
Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi; kwa wingi wa mafunuo hayo nalipewa mwiba katika mwili; mjumbe wa shetani ili anipige; nisije nikajivuna kupita kiasi
8 kwa ajili ya kitu hicho nalimsihi Bwana mara tatu kwamba kinitoke.
9. Naye akaniambia; Neema yangu yakutosha; maana uweza wangu hutimilika katika udhaifu......
## umeona huko juu na utakatifu wote Paulo alikua na udhaifu
Kamsihi Mungu mara 3 akitoe kile kitu lakini Mungu hakutoa akamjibu Neema yangu yakutosha na ktk udhaifu uweza wake hukamilika
Mungu ni mzuri sana kwetu.
## na hata kama mtu ni mtakatifu lazima aombe toba
Warumi 3:23
Kwasababu hiyo wote wamefanya dhambi; na kupungukiwa na utukufu wa Mungu
## huwez kujihesabia huna dhambi kwahiyo lazima unyenyekee ktk mkono wa Bwana ili upokelewe maombi
Hiyo ni sheria ktk ulimwengu wa roho huwez kuikwepa
Lazima ujitakase.
Umenielewa kuduchu?
Asante na ubarikiwe. Kwahiyo sasa, mtu anaweza kujiita mtakatifu?[/QUOTE
hiyo kujiita mtakatifu mtu anaweza jiita ndio ni kwa sababu ametengwa ktk kusudi fulani.
Sasa anayejiita mtakatifu lazima ajiangalie je na Yeye kaitwa kama Paulo alivyoitwa na Mungu kuwa wewe utakuwa mtu fulani?
Unajua Mungu anaongea na watu kwa njia mbali mbali mfano njia ya ndoto hii ni mara nyingi sema watu hatujui kufasiri ndoto;
Au kwa njia ya sauti kama Musa alivyo itwa kutoka ktk kijiti au paulo huyo huyo alivyo sikia sauti ya Bwana
Matendo 9:3
Hata alipokuwa akisafiri; ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni.
4 akaanguka chini; akasikia sauti ikimwambia; Sauli; Sauli; mbona waniudhi?
5 Akasema; U nani wewe; bwana? Naye akasema; Mimi ndimi Yesu unaye niudhi wewe
8 Lakin simaka; uingie mjini; nawe utaambiwa yakupasayo kutenda
## umeona hapo juu Sauli aliitwa kabisa na Mungu kuwa ataambiwa yampasayo kutenda
# Mtakatifu sio lazima awe mtumishi wa madhabahuni; anaweza kuwa hata mtu ambaye haubiri lakin Mungu kamtenga ili afanye jambo kupitia yeye
Na lazima uwe makini na ndoto unazo ora pia Mungu aengepo na wewe sababu hata shetan anaweza kukudanganya akajivika uungu
Anakupa maelekezo siyo
Halafu ukiamka unaamka na mafunuo ua ajabu
## tuje hiyo mtu anawezaje jiita mtakatifu
Utajiita mtakatifu kwa kujua kabisa mimi nimeambiwa nikae ktk eneo hili na Mungu nifanye kazi hii
Sio leo mwl; kesho nabii; kesho kutwa muumini; mara mchungaji
Hapo hujui umewekwa wapi
Mtakatifu anajua kabisa mimi kazi yangu ni Mlinzi labda nipo maalumu kwa kuombea vijana; au nchi; au familia; yan lazima Mungu akupe sehemu maalum/ kitengo chako na huto yumbishwa na kitu
Tuje huko kujiita mtakatifu; inategemea unajiita kwa madhumuni gana sasa
Sababu unaweza jiita hivyo halafu shetan akapata mwanya wa kukuangusha
Si unajua moyo huwa unajiinua unajiona bora kuliko wengine; hata kama unajijua mtakatifu huna haja ya kujipa cheo mm naitwa mtakatifu Divine... Hapana lazimw wakati mwingine busara itumike sababu
Kuna watu wataanza kukuheshimu wewe badala ya Mungu aliye hai ns hicho kitu kibaya sana
Chungu hakiwez pata sifa kuliko mfinyanyanzi mwisho wa siku utafanya mfinyanzi apate hasira akibomoe ili atengeneze kingine kitakacho muheshimu
Kwa kias nikijuacho ni hivyo juu
hiyo kujiita mtakatifu mtu anaweza jiita ndio ni kwa sababu ametengwa ktk kusudi fulani.Asante na ubarikiwe. Kwahiyo sasa, mtu anaweza kujiita mtakatifu?
Asante sana Divine, napata mwanga mkubwa kupitia andiko lako, bado nauliza ili niweze kufaham zaidi.hiyo kujiita mtakatifu mtu anaweza jiita ndio ni kwa sababu ametengwa ktk kusudi fulani.
Sasa anayejiita mtakatifu lazima ajiangalie je na Yeye kaitwa kama Paulo alivyoitwa na Mungu kuwa wewe utakuwa mtu fulani?
Unajua Mungu anaongea na watu kwa njia mbali mbali mfano njia ya ndoto hii ni mara nyingi sema watu hatujui kufasiri ndoto;
Au kwa njia ya sauti kama Musa alivyo itwa kutoka ktk kijiti au paulo huyo huyo alivyo sikia sauti ya Bwana
Matendo 9:3
Hata alipokuwa akisafiri; ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni.
4 akaanguka chini; akasikia sauti ikimwambia; Sauli; Sauli; mbona waniudhi?
5 Akasema; U nani wewe; bwana? Naye akasema; Mimi ndimi Yesu unaye niudhi wewe
8 Lakin simaka; uingie mjini; nawe utaambiwa yakupasayo kutenda
## umeona hapo juu Sauli aliitwa kabisa na Mungu kuwa ataambiwa yampasayo kutenda
# Mtakatifu sio lazima awe mtumishi wa madhabahuni; anaweza kuwa hata mtu ambaye haubiri lakin Mungu kamtenga ili afanye jambo kupitia yeye
Na lazima uwe makini na ndoto unazo ota pia Mungu aoengepo na wewe sababu hata shetan anaweza kukudanganya akajivika uungu
Anakupa maelekezo siyo
Halafu ukiamka unaamka na mafunuo ya ajabu
## tuje hiyo mtu anawezaje jiita mtakatifu
Utajiita mtakatifu kwa kujua kabisa mimi nimeambiwa nikae ktk eneo hili na Mungu nifanye kazi hii
Sio leo mwl; kesho nabii; kesho kutwa muumini; mara mchungaji
Hapo hujui umewekwa wapi
Mtakatifu anajua kabisa mimi kazi yangu ni Mlinzi labda nipo maalumu kwa kuombea vijana; au nchi; au familia; yan lazima Mungu akupe sehemu maalum/ kitengo chako na huto yumbishwa na kitu
Tuje huko kujiita mtakatifu; inategemea unajiita kwa madhumuni gana sasa
Sababu unaweza jiita hivyo halafu shetan akapata mwanya wa kukuangusha
Si unajua moyo huwa unajiinua unajiona bora kuliko wengine; hata kama unajijua mtakatifu huna haja ya kujipa cheo mm naitwa mtakatifu Divine... Hapana lazima wakati mwingine hekima itumike sababu
Sababu tunachopigana nacho ni kuwa na mwisho mwema na sio mwanzo mwema
Kuna watu wataanza kukuheshimu wewe badala ya Mungu aliye hai na hicho kitu kibaya sana sababu si wote wenye uelewa unao fanana
Chungu hakiwez pata sifa kuliko mfinyanyanzi mwisho wa siku utafanya mfinyanzi apate hasira akibomoe ili atengeneze kingine kitakacho muheshimu
Kwa kias nikijuacho ni hivyo juu
Mungu huwa anaongea kama huko juu nilivyosema.Asante sana Divine, napata mwanga mkubwa kupitia andiko lako, bado nauliza ili niweze kufaham zaidi.
Je, utajuaje sasa kwamba wewe au mimi nimetengwa sehem maalum kwa ajili ya kazi maalumu?
Na mtu aliyetengwa hukuti analalamika hata kidogo kuhusu jambo halijaenda sawa
Jambo likiharibika halafu aliomba atarud magotin pa Mungu kuuliza au kama karuhusiwa na Mungu kushare na watu wa design yake atashare ili waombe pamoja
Watakatifu wapo wengi; wengine wameokoka tayar wengine bado; wengine wapo tumbon wengine sa hz wanazaliwa
Wengine wanavuta had bangi au wana tabia mbaya
Ila Mungu anawatafutia muda warud ktk nafasi zao ili wafanye kile ambacho Mungu alicho kusudia
Amen napokea baraka ktk Jina la YesuDivine ubarikiwe sana........ nimeelewa vizuri sana toka umeanza kutoa ufafanuzi.......
Roho mtakatifu aendelee kukuongoza hivyo hivyo..... Amen
SamahaniNa mtu aliyetengwa hukuti analalamika hata kidogo kuhusu jambo halijaenda sawa
Jambo likiharibika halafu aliomba atarud magotin pa Mungu kuuliza au kama karuhusiwa na Mungu kushare na watu wa design yake atashare ili waombe pamoja
Watakatifu wapo wengi; wengine wameokoka tayar wengine bado; wengine wapo tumbon wengine sa hz wanazaliwa
Wengine wanavuta had bangi au wana tabia mbaya
Ila Mungu anawatafutia muda warud ktk nafasi zao ili wafanye kile ambacho Mungu alicho kusudia
Tukuombee nini na kwa Mungu yupi? maana Mungu naemuamini mimi,wewe unaenda kinyume chake kwahiyo siwezi kujisumbua nikuombee kwa Mungu wangu huku wewe unaeombewa unafanya kinyume nae,we katafute Mungu anaeendana na matendo yako ya kishetani ndio wakuombeeQUOTE]
Huyo huyo Mungu mniombee