chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,189
Brother let us stop here...Nitafurahi sana ukileta huo ushahidi hapa ili na hii iwe skendo.
Kumbe binti hakusema namm sikusema halaf ww umejua...basi ww utakuwa ulinishikia miguu bila kujua
Kumbe ndio maana upo hvo nimeona, pole bwana mdogo.Unaogopa tena na maneno umeanzisha mwenyewe?
Kama alikwambia kwa siri kuwa ananipenda aje tu kuniambia mwenyewe mm huwa simkatai demu nimeshasema mara nyingi sana sina ujasiri huo
Asante shemeji nxt time kama mwanamke mwenzio akinipenda usiwe na wivuKumbe ndio maana upo hvo nimeona, pole bwana mdogo.
Jumapili njema
My Queen the one and only ISISHabari zenyu Wandugu.
Uzi huu ni Maalum kwa kutakiana jumapili njema.Muwe na Jumapili njema wapendwa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] .
SYB
[emoji23][emoji23][emoji23]!.....Usingekuwa mke wa mtu ningekuwinda kila kona ya nchi hii najua chura ipo!Jumapili njema pia mpenda misambwada
Hahahahaha mkuuMimi nawatakia Jumapili njema, tulivu na yenye amani Members wote wa JamiiForums walio hai, Wahariri wa hili Jamvi ( Moderators ), Watendaji wote wa Mtandao wangu huu pendwa wa JamiiForums na Waanzilishi wake wote ( Founders ) kwa kutuletea hii ' platform ' ambayo pengine kama isingekuwepo hivi sasa GENTAMYCINE ningekuwa ' Kijiweni ' tu nacheza ' Kamali ' za Karata tatu au Nasokota ' jani ' kama siyo kuhangaika kuwavizia Wake za Watu na kuwatongoza.
Ninawapenda nyote humu mwaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh....pokeeni hilo busu langu ambalo limetukuka kabisa.
Hahahahaha mkuu mkuuNaomba niwepo hapo kwenye "woteeeeee"
Maana wengine tuna mikosi yetu,hata kwenye "woteeeeee" naweza nisiwemo...
Huu ni utata.Jumapili njema wote niwapendao.
Mungu awaongoze kwenye kila la kheri
Na kwako piaMzee wa Ini, Jumapili njema
Sawa bro ningekua bado mm wa zamani ungeijutia hiyo kauli..Asante shemeji nxt time kama mwanamke mwenzio akinipenda usiwe na wivu