Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

C
Nitafurahi sana ukileta huo ushahidi hapa ili na hii iwe skendo.

Kumbe binti hakusema namm sikusema halaf ww umejua...basi ww utakuwa ulinishikia miguu bila kujua
Brother let us stop here...
Sijasema hii ni skendo
Yaishe tusije kukuza mambo yasiyo na faida kwako na kwangu
Peace and respect
 
Unaogopa tena na maneno umeanzisha mwenyewe?

Kama alikwambia kwa siri kuwa ananipenda aje tu kuniambia mwenyewe mm huwa simkatai demu nimeshasema mara nyingi sana sina ujasiri huo
Kumbe ndio maana upo hvo nimeona, pole bwana mdogo.
Jumapili njema
 
Mimi nawatakia Jumapili njema, tulivu na yenye amani Members wote wa JamiiForums walio hai, Wahariri wa hili Jamvi ( Moderators ), Watendaji wote wa Mtandao wangu huu pendwa wa JamiiForums na Waanzilishi wake wote ( Founders ) kwa kutuletea hii ' platform ' ambayo pengine kama isingekuwepo hivi sasa GENTAMYCINE ningekuwa ' Kijiweni ' tu nacheza ' Kamali ' za Karata tatu au Nasokota ' jani ' kama siyo kuhangaika kuwavizia Wake za Watu na kuwatongoza.

Ninawapenda nyote humu mwaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhh....pokeeni hilo busu langu ambalo limetukuka kabisa.
Hahahahaha mkuu
This is Liverpool bhana
 
Asante shemeji nxt time kama mwanamke mwenzio akinipenda usiwe na wivu
Sawa bro ningekua bado mm wa zamani ungeijutia hiyo kauli..
Mnajifanya superstars kumbe tunawachora tu maisha yenu ya kitaa yalivyo..
Pole sana nadhani hujui kama napafaham hadi unapoishi
 
Back
Top Bottom