Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Napokea kwa moyo wa unyenyekevu Malume [emoji323][emoji322][emoji1545]
 
Salute [emoji1545][emoji1545] donlucchese
 
Wadau wangu wote wa vituko mitandaoni mkiongozwa na mzee wenu mshirikina Mshana Jr nawasalimu Sana[emoji23] Khantwe
 
Asante sana wifi😜😜
Ukawe mwaka wa baraka tele kwako.
 
Ooh step mom; kuna maswali imebidi nijiulize....Ahsante sana kwa kunikumbuka na kutamka baraka juu yangu; ni kwa neema tu ya Mungu mimi kuwa hivi nilivyo.

Nakuombea Mungu akadhihirike kwako mwaka huu; atakapotafuta platform ya kujionesha, basi akutumie wewe. Ukawe mwaka utakaobeba alama njema kwenye maisha yako. Mungu atutunze[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…