Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Salamu zangu natoa kwa wanaoshinda jukwaa la garage kama unakaa jf garage hii inakuhusu

Ya pili naiacha pale sports hasahasa jukwaa la manutd watu kibao mule nawapa salamu

Ya tatu pale mmu kwa mzee rikiboy
Watu millioni tisa wamekaa wakatulia kuchunguliamo ile mada
So respect saana mkuu

Mtu wa mwisho ni yule mwamba alieweka stori yake uzi wa kuvamiwa na majambazi aliesema kuna mwamba alinyolewa upande akawa anakimbia juu ya misalaba
Umenifanya nicheke sana na kuchekesha wengi na kastori kako kale.....
Merry xmass and happy new year
Naomba kapigwe kale ka nyimbo ka jingolingolingo aaaaaaaaaaaah aaaaah
 
Kwa mwaka huu unaokaribia kumalizika napenda kutoa pongezi dhati kabisa kwa wanachama wa majukwaa yote kwa mchango wao unaojikita katika ushauri, kufurahisha, kuburudisha, kuelimisha, kusaidia nk.

Nawaombea sana na kuwatakia kila mmoja yeye na familia yake au anaemhusu kwa namna moja ama nyingi wajaliwe kila jema .

Kadhalika wasimamizi, waongozaji,na wa anzilishi wa jamii forums, niseme tu kama sio nyie basi familia yenu hamtakosa nafasi yenu mbinguni[emoji120].
 
Back
Top Bottom