Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Ooh step mom; kuna maswali imebidi nijiulize....Ahsante sana kwa kunikumbuka na kutamka baraka juu yangu; ni kwa neema tu ya Mungu mimi kuwa hivi nilivyo.

Nakuombea Mungu akadhihirike kwako mwaka huu; atakapotafyta platform ya kujionesha, basi akitumie wewe. Ukawe mwaka utakaobeba alama njema kwenye maisha yako. Mungu atutunze[emoji120][emoji120][emoji120]
Barikiwa sana...niambie maswali uliyojiuliza nami nitakujibu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Amna kwakweli ila eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan tag nmehesabu had nmechoka
Anyway sina nguvu tena ya kutafuta ist mim
😂😂 ni wishes tu za kawaida usijali, ile IST hadi mwaka mwingine umepinduka hujainunua, nikikuacha ntakua nimekuonea?😀
 
Kheri na Baraka tele, Afya njema na Mafanikio kwa mwaka mpya 2022 kwa Wana JF wote!
 
Yes, mwanajeshi wangu wa infantria Karma upendo mwingi sana juu yako. 2022 punguza usela damu yangu unaweza ukayawin back mapenzi.
Saint Anne dada yangu wa Ulaya ya Tanzania, hana makuu kabisa, very polite and social with high self-esteem. Huwezi mkuta anaomba koneksheni ya mirinda hata kama ilimpita, hana time na worldly things kivile ye anapenda kuenjoy nature (God's creation). Pia ana mwandiko mzuri [emoji2][emoji2]

Extrovert Anaupiga mwingi, mnyamwezi flani japo amezaliwa TZ
billdrago a.k.a bolo yanki
Emiir T 1990 ELY moudgulf Shimba Ya Buyenze Kashaija72 mkwepu jr Mshana Jr
I, donlucchese of the Lucchese family mpiganaji wa Castellammarese War, Nawatakia kheri ya Mwaka mpya 2022
Hahaaa shukrani sana Bigi CDO much love [emoji120][emoji120]
Happy New Year to you and yours [emoji4][emoji4]
 
Na mimi naomba niwatakie heri watu wangu wa nguvu kama ifuatavyo
Naanza na my step daughter Heaven Sent. Sijui ulifikiria nini kujiita hivi ila jina hili limepita mulemule.... you're truly a heaven sent gift to us. Mungu akutunze huu mwaka na mingine ijayo uendelee kufanyika baraka kwa wote wanaokuzunguka. Msalimie mzee wako Kaboom mwambie nimemmisi...na mama yako hivi ndio yule Habun? Mwambie namtakia heri ya mwaka mpya
Mdogo wangu Saint Anne umekuwa ndugu yangu sasa sio rafiki tu..mwaka 2022 ukawe mwaka wa kutimiziwa ndoto zako.
Karma Joanah Carleen financial services my babe Culture Me nawatakieni kila lenye heri
Kaka zangu, wadogo zangu, rafiki zangu Relief Mirzska The Monk Mjep my pachaz RRONDO TANMO Chaliifrancisco Bonny (umepotea sana) Bufa MO11 Extrovert Shimba Ya Buyenze Watu8 my uncle andjul Carlos The Jackal Inside10
Wadau wangu wote wa vituko mitandaoni mkiongozwa na mzee wenu mshirikina Mshana Jr nawasalimu Sana
Wadau wangu wa uzi wa likes sijawasahau nawakumbuka Sana... capitalpool my all time crush awawakilishe kwenye salamu zenu
Wadau wangu wakorea weusi DAEMUSHIN Numbisa Nifah The Happiness wengine majina yenu magumu jamani[emoji28][emoji28]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Happy New Year dada [emoji7][emoji7]
Ukawe mwaka wenye kheri na mafanikio tele kwako [emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom