Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.
Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.
Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.
Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.