inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Mechi ni siku moja kwa wiki,Wana siku 6 za kutafutaNa huwezi kula kwa kushinda kutwa nzima uwanjani unasubiri mechi jioni.Nani atafanya kazi kwa niaba yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi ni siku moja kwa wiki,Wana siku 6 za kutafutaNa huwezi kula kwa kushinda kutwa nzima uwanjani unasubiri mechi jioni.Nani atafanya kazi kwa niaba yako.
We ndo maskini Sasa kama ni hivyo viwanja vya Mpira visingejaaga kote ulimwenguni ni mchezo pendwa kama upendi ni wewe na inaonekana ujawahi enda ata stadium wewe unawaza Umaskini tu
Nimesema niliwahi kupenda halafu nikaona ujinga nikawacha.Naamini na nyinyi iko siku mtatia akili muwe kama mimi.Kama hupendi mpira tulia tunaopenda tuendelee kuupenda na kushabikia kwa sababu sio dhambi kupenda mpira ni moja ya starehe, kama unashibikia rede unataka Kila mtu apende rede🤔🤔
Kwa hiyo mechi ya temeke na London watz huingia uwanjani tangu asubuhi!?..mbona hufikiri!!..halafu kakwambia nani mpira wa London umeanza kufuatilia siku hizi!?..mbona siku hizi ndiyo upenzi umepunguaSio kweli mechi siku hizi ni kila siku.ikiwa si Temeke basi ni London au Spain.
Me sio mpenzi wa mpira ila nakumbuka kipindi Cha nyuma mpira ulikuwa Mara Moja Moja siku hizi mpira naona Ni mar kwa Mara mfano juzi kumbe kulikuwa na mpira Jana nafika job ndo nasikia watu wanazungumzia sijui tumepita hatua flani kumbe timu ya taifa imefuzu hatua flaniUnakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.
Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.
Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.
Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Hivyo vishughuli wanavyofanya navyo hawana umakini kwa kufikiria mechi ya lisbon itakayochezwa jioni.Na wengine wanaweza kuacha kazi akaingie kwenye banda achungulie kinachoendelea huko.Maendeleo yatapatikana wapi hapo.Kwa hiyo mechi ya temeke na London watz huingia uwanjani tangu asubuhi!?..mbona hufikiri!!..halafu kakwambia nani mpira wa London umeanza kufuatilia siku hizi!?..mbona siku hizi ndiyo upenzi umepungua
Huko wanokochezq mbona Wana maendeleo!?..halafu mbona vibanda umiza havijai mpaka dk 15 kabla ya mechi kuanza!?..we unajua shughuli ya kila muingia kibanda umiza!?Hivyo vishughuli wanavyofanya navyo hawana umakini kwa kufikiria mechi ya lisbon itakayochezwa jioni.Na wengine wanaweza kuacha kazi akaingie kwenye banda achungulie kinachoendelea huko.Maendeleo yatapatikana wapi hapo.
Kwa mwezi unafanya mapenzi mara ngapi na kwanini unapoteza muda kufanya ngono baadala ya kutengeza pesa?Me sio mpenzi wa mpira ila nakumbuka kipindi Cha nyuma mpira ulikuwa Mara Moja Moja siku hizi mpira naona Ni mar kwa Mara mfano juzi kumbe kulikuwa na mpira Jana nafika job ndo nasikia watu wanazungumzia sijui tumepita hatua flani kumbe timu ya taifa imefuzu hatua flani
Na hii mipira naona imewekwa kutusahaulisha mambo ya Ovyo yanayofanywa na CCM
Haiwezekani Kuna shule wanakaa chini madaraja hakuna hospital madawa hakuna afu watu wanacheza mpira unawapa 10milion per goal kwani hawana mishahara?
Si umeona UK wanaporomoka mpaka karibuni watakuwa kama tz.Tangu lini mataifa yanayopeleka watu mwezini kama India wakacheza mpira wa miguu.Huko wanokochezq mbona Wana maendeleo!?..halafu mbona vibanda umiza havijai mpaka dk 15 kabla ya mechi kuanza!?..we unajua shughuli ya kila muingia kibanda umiza!?
Kuna michezo mingi marekani kuliko ukSi umeona UK wanaporomoka mpaka karibuni watakuwa kama tz.Tangu lini mataifa yanayopeleka watu mwezini kama India wakacheza mpira wa miguu.
Huna akili mastaUnakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.
Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.
Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.
Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Kwanini usiku huwezi kufanya kazi za ziada ukaongeza kipato?Hayo ni mambo ya usiku usiku.tena wakati wa mapumziko.Sio wakati wa kazi.
Hailingani kabisa kutazama mpira au kuingia uwanjani na kuingia JF.Hapa ni pahala pazuri pa kupeleka ujumbe mpaka kwa raisi na kwako mlalahoi .Pesa anayoingiza maxence melo ni safi si kama ile ya kwenye jumba la kubeti.We mbona unapoteza hela Zako unanunua bundle unakuja kutumia jf hupati chochote mwenzako Maxence Melo anaingiza hela kupitia wewe.
Kaz yako ni kusengenya watu tu, ukifa hautakua na majibu mazuri kwa mola wako na motoni utaingia
We uko hapa kusengenya huna unachopata zaidi , ukitaka wakuelewe wafate kwenye hayo mabanda uwaambieHailingani kabisa kutazama mpira au kuingia uwanjani na kuingia JF.Hapa ni pahala pazuri pa kupeleka ujumbe mpaka kwa raisi na kwako mlalahoi .Pesa anayoingiza maxence melo ni safi si kama ile ya kwenye jumba la kubeti.
Hata ufanye kazi vipi,mwisho wa siku mwili unahitaji burudani. Sasa hapo kwenye burudani kila mtu anayo ya kwake, kama ifuatavyo; kuna wapenda mpira, sinema, vinywaji mbalimbali, ngono, safari, utalii sehemu tofauti zikiwemo mbuga za wanyama, muziki, disco, kuogelea, kula, kulala etc...!! Na burudani hizo zina gharama tofauti tofauti. SASA WEWE UNADHANI STAREHE NI WOTE TUPENDE UNAVYOVIPENDA WEWE..!!Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.