Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 748
- 934
Hao Marais wao wanatafuta sehemu yoyote yenye kundi la watu wengi aijalishi wanajitambua au la, lengo ikifika wakati wa uchaguzi wawatumie,nchi kama Tanzania kuna changamoto nyingi sana kwenye jamii inabidi ujizime data kuwq mshabiki wa mpira, nikitaka kuangalia mpira naangalia lig za mbele japo sio sana,uwezi kuupa kipaumbele mpira wakati unamatatizo kibao ya kiuchumi nadani ya nchi.Ndio maana hata maraisi wanatoa bajeti zao kupeleka mpirani.