Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Of course watu wezi wezi wanafikiri kila mtu ni mwizi.Isije kuwa multiple ID kama GENTA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Of course watu wezi wezi wanafikiri kila mtu ni mwizi.Isije kuwa multiple ID kama GENTA
Umesema kweli.Angalia tangu mechi ya Yanga jana nguvu kazi kiasi gani na pesa zimepotea kujadili ujinga.Bila ya kuwa na rasilimali watu wanaojielewa,kamwe tusitegemee mapya kimaendeleo.
Huwezi kutwa ukawa unazungumzia mpira halafu ukaona kukoseka kwa umeme ni shida.
Mpaka pale zaidi ya asilimia 60 ya Watanzania watakapokuwa wamekombolewa/wamejikomboa kutoka kwenye utumwa wa kiakili ndipo maendeleo nchi hii yatakapotokea.
Ahsanteeeee umefikisha na Allah s.w shuhudaUnakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.
Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.
Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.
Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Si shaka umri wako ni mdogo sana au ni mtu wa vijiweni vijiweniMtoa mada unataka kupangia watu cha kufanya, na wakati hata wewe mwenyewe maisha yako hayana tofauti na hao wanaojadili muda wote masuala ya michezo!
Acha ukuda wa kijinga, na ujifunze kuishi maisha yako.
Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.
Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.
Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.
Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Hivi, kila ukipita mitaani kwa watu jobless na wengine wenye kazi tu za maana, ukihesabu muda wanatumia kubishana juu ya mpira aisee unaona wazi kabisa Kuna hatari ya kiuchumi baadae, imagine mimi leo hii tar 8/10/2023 jioni hii, kwa sababu ya mapumziko nimepita kwenye kijiwe cha kahawa, kupata mawazo tofauti kwa watu tofauti, lakini nimefika hapa around 18:20pm na sasa ni 19:48pm watu wanabishana kuhusu mpira toka nimefika.Kumekua na wimbi la watu humu kupangiana nini mtu afanye au asifanye. Mkuu umeleta mada nzuri ila tambua kila mmoja wetu ana namna yake ya maisha ushabiki si kitu mbaya labda kama utaleta madhara. Wewe umeona sio sahihi kwa misingi yako labda na familia yako ila mwingine ni mshabiki mzuri na hatokufa maskini kama ww punguza makasiriko yenye chembe za chuki wivu na kujiona bora zaidi
Umesema mapumziko eehh basi na hao wanaobishananmpira wapo mapumzikoHivi, kila ukipita mitaani kwa watu jobless na wengine wenye kazi tu za maana, ukihesabu muda wanatumia kubishana juu ya mpira aisee unaona wazi kabisa Kuna hatari ya kiuchumi baadae, imagine mimi leo hii tar 8/10/2023 jioni hii, kwa sababu ya mapumziko nimepita kwenye kijiwe cha kahawa, kupata mawazo tofauti kwa watu tofauti, lakini nimefika hapa around 18:20pm na sasa ni 19:48pm watu wanabishana kuhusu mpira toka nimefika.
Msikatae, Kuna hatari ktk maendeleo kwa kuendekeza vitu visivyo walipa watu kuchukua muda wao kupita kiasi na hawaingizi chochote
Usikute mimi ni baba yako wa kufikia.Si shaka umri wako ni mdogo sana au ni mtu wa vijiweni vijiweni
Hukua mpenzi wa mpiraNiliwahi kupenda zamani.Halafu nikaona sipati faida yoyote nikaacha.
Vipi,badala ya kuleta sadaka wao wanapeleka viingilio vibanda umiza?Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.
Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.
Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.
Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Sadaka misikitini imepungua kweli.Sijui huko makanisani.Hawa mamlaka ya mapato wanakandamiza wafanyabiashara wadogo lakini kwenye mpira wanaachia tu.Ndio maana huu upuuzi kila siku unapaa tu.Siku tukielemewa na madhara yake itakuwa tumechelewa.Vipi,badala ya kuleta sadaka wao wanapeleka viingilio vibanda umiza?
Sitisha na komesha mchezo wa mpira wa miguu haraka maana sadaka imepungua sana.
Vp na wewe ukiweka kibanda umiza hautapata hizo fedha badala ya kusubiria uletewe huko kanisani au msikitini?Sadaka misikitini imepungua kweli.Sijui huko makanisani.Hawa mamlaka ya mapato wanakandamiza wafanyabiashara wadogo lakini kwenye mpira wanaachia tu.Ndio maana huu upuuzi kila siku unapaa tu.Siku tukielemewa na madhara yake itakuwa tumechelewa.
Imani yangu mimi pesa bila jasho ni haramu.Na hilo jasho limewekewa maeneo maalum ya kutokea.Kwa hivyo pesa za vibanda umiza sizitaki kamwe.Vp na wewe ukiweka kibanda umiza hautapata hizo fedha badala ya kusubiria uletewe huko kanisani au msikitini?
Lalamikia imani yako sasa na siyo imani za wengine.Imani yangu mimi pesa bila jasho ni haramu.Na hilo jasho limewekewa maeneo maalum ya kutokea.Kwa hivyo pesa za vibanda umiza sizitaki kamwe.
Ipo siku serikali itazinduka japo kwa kuchelewa ifunge viwanja vya mpira watu wakalime.Nchi ina ardhi bora ya kilimo kwa dunia nzima halafu tunaagiza ngano Ukraine.Vijana ambao ndio nguvu kazi ya taifa wanahemkwa tu halafu wanakwenda kutafuta chips zilizochomwa mabarabarani.Wengi wao hawana wake kwa vile hawana nguvu za kiume.Zimepotea kwa kupiga makele kuhusiana na mpira.Hamu ya kuwa na mke nayo inachukuliwa na mawazo ya mpira jioni,kesho na keshokutwa au mwezi ujao.Hivi, kila ukipita mitaani kwa watu jobless na wengine wenye kazi tu za maana, ukihesabu muda wanatumia kubishana juu ya mpira aisee unaona wazi kabisa Kuna hatari ya kiuchumi baadae, imagine mimi leo hii tar 8/10/2023 jioni hii, kwa sababu ya mapumziko nimepita kwenye kijiwe cha kahawa, kupata mawazo tofauti kwa watu tofauti, lakini nimefika hapa around 18:20pm na sasa ni 19:48pm watu wanabishana kuhusu mpira toka nimefika.
Msikatae, Kuna hatari ktk maendeleo kwa kuendekeza vitu visivyo walipa watu kuchukua muda wao kupita kiasi na hawaingizi chochote
Hahaha anapata kazi nyingine na anaendeleza ushabiki. Punguza makasiriko boss milazoJuzi nimetoka achisha mtu kazi kwa upumbavu wa kuaga kuwa anauguliwa na shangazi yake na kumbe alikuwa anasafiri kwenda kuishangilia timu huko Dar, alipopata ajali ndio akaniambia ukweli.
Huu ni zaidi ya uzwazwa.
mkuu uliona mbali.Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.