Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Unahela ya kutapeliwa wewe ulivyochoka mpaka akili imerukaWewe tu ndio bado wenzako wengi wameshanitapeli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahela ya kutapeliwa wewe ulivyochoka mpaka akili imerukaWewe tu ndio bado wenzako wengi wameshanitapeli.
Umejuaje sijasoma Uislamu?
Unaweka vipi hoja ya kuungaunga na kukisiakisia kwa "huenda" katika kujibizana nami?
Wewe upo kidunia, hujui baada ya kufa kuna maisha mengine, sema huna dini kwa maana Uislamu, so huwezi kuelewa uharamu wa mpiraSasa unashaurije mtu ambae anatumia pesa zake kuangalia mpira hujioni kama chizi sababu hajawai kukuomba hata mia ya kula
Huna hela ya kutapeliwa wewe ni masikini wa kutupwa danganya wajinga wenzioNimeshatapeliwa sana na wenzako wa mpira mpira. Wengine wanajileta kama wadada .Nashukuru sijafilisika.Mwenyezi Mungu yuko pamoja nami kwa sababu simuasi
Huna hela ya kutapeliwa wewe ni masikini wa kutupwa danganya wajinga wenzio watu wa mpira ndio tunaongoza kuwa na pesa Sasa hivi '
Huyo ni Mimi unasemaje we fukaraView attachment 2757130
huyu uliyempenda ukaweka jina lako juu yake ni nani yako huyu ?
Kwani wewe si ndio dada mkubwa et we shoga 🤣🤣Nilitaka nikuozeshe dada yangu.Lakini kwa muonekano huo nahisi wewe na yeye hamna tofauti.
Huenda ikawa sababu ya yeye kuacha kilichokatazwa/haramishwa na kumrudia Mola wake, huelewi nini! Au ndio unataka majibizano yasiyo kuwa na maana ukizidiwa unasepa!
Hivyo usome Uislamu upate kujua ewe uliepotea
Wewe upo kidunia, hujui baada ya kufa kuna maisha mengine, sema huna dini kwa maana Uislamu, so huwezi kuelewa uharamu wa mpira
Msikilize Sheikh Shaaban albattashy
View: https://youtu.be/zhsMlic8wR0?si=6x1wtTOzHiJ2ul52
Hoja yako haina mashiko kwa sababu Uislamu ni imani na imani haina sharti la kuendana na facts.
Lete facts hapa tuongee, hayo mambo ya dini na huenda huenda ukiambiwa huenda ukila mavi kwa imani utakuwa bilionea utakula?
Uislamu umejaa contradictions, nikikuwekea hapa uzitatue kimantiki bila abracadabra hutaweza hata baada ya miaka 1,000.Ni vile huna dini kwa maana si muislamu, so huwezi elewa.
Endelea kuusoma uislamu upate kujua...
Hapo kwenye fursa ebu tolea mfano."Tumia fursa hiyo kujiongeza wewe binafsi"
Umenena vyema
Nazungumzia unapolipa kiingilio, unapolipia kisimbuzi, unaponunua jeziIngiza pesa halali kwa kufanya kazi za kujenga taifa sio kubeti.Unachukua pesa za bure na wenzako wanalia na hakuna kilichozalishwa. Kwa namna hiyo nchi inaporomoka chini.
Uislamu umejaa contradictions, nikikuwekea hapa uzitatue kimantiki bila abracadabra hutaweza hata baada ya miaka 1,000.
Kwa sababu ni uongouongo wa kuungaunga tu ulioandikwa na watu enzi za ujinga bila kujali au kujua mantiki.
Bisha nikuwekee uharisho mchafu unaotoka katika Uislamu hapa.
Sina hakika na hapo kwenye habari ya motoni, ila kiukweli ni ujinga uliopitiliza kujikusanya rundo la watu kila siku kujadili mipira ambayo haina faida sana kwa familia wala taifa. Huko kwa wenye mipira wanaangalia na wanashabikia kwa kipimo. Sio kuwa maamuma wajinga kabisa. Ata mimi huwa nashangaa sana asubuhi, unakuta watu wamejikusanya unadhani wanajadili vitu vya maana, mustakabali wa taifa kumbe wanasoma kurasa za mwisho za magazeti zisizo na umuhimu sana. Alafu unategemea CCM iondoke kesho 😂😂 wataendelea kula pesa , wao na familia na washkaji zao mpaka siku haya majinga yaamke.Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.
Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.
Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.
Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Hujabishia hoja yangu kwamba Uislamu umejaa contradictions.Hakuna unachokijua zaidi ya kupinga/bisha, so endelea kuusoma uislamu upate kujua, aleyommba gekke bhabhaa endelea kuusoma uislamu upate kujua
Yote hayo ni matumizi mabaya ya pesa.Unanunua jezi halafu unatembea nayo mitaani.Mfano siku timu yako imefunga mwenzako aliyefungwa anakuonaje wewe.Wewe mwenyewe huoni kuwa unajihatarishia usalama na heshima yako.Mambo ya mipasho ni mambo ya kike hayo wanayofanya kwenye kanga kwa waume na wake wenza wao.Nazungumzia unapolipa kiingilio, unapolipia kisimbuzi, unaponunua jezi
Tumekuzoea na hoja zako ambazo hata ukijibiwa hukubali na unalazimisha ulivyofahamu wewe kimakosa.Hujabishia hoja yangu kwamba Uislamu umejaa contradictions.
Kwa sababu unajua huwezi kuzitatua.