Mtakufa malofa na moto mtauingia kwa kuendekeza mpira

Unazungumzia Zamani ipi mkuu? Zamani watu walikuwa wanabishana hadi mechi ya kwenye makaratasi ya kwenye gazeti la Sani, Bush Stars vs Born Town.
 
Ni uchawi huo mkuu. " deja vuu"
Uchawi ni jibu la kwanza la watu wanaopenda kujibu bila uchunguzi.

All that is needed here is knowledge of the story and ability to make connections to the present.

Uchawi hauhitajiki hapo.
 
Inaitwa Synchronicity . It is something spiritual
 
Wape chakula na michezo mingi sana watasahau mapinduzi. Huu ni usemi maarufu wa mwana falsafa na mshairi wa kiroma karne ya kwanza aitwaye Juvenal. Binadamu wa zama hizi hawana akili na wapo bize na michezo, miziki na habari za kuvuma.

Hii ni mbinu maarufu ya serikali kutawala watu wajinga. Kila siku kuna mechi kila siku redioni ni matangazo ya michezo. Kumbuka ya kwamba kwa mara ya kwanza.

Anguko la kizazi hiki ni michezo na starehe.
Exactly
 
Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.

Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.

Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.

Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
SIUUUUUUUUUUU
 
Na wewe utakufa ukiwa lofa kwa kuendekeza Siasa..cha muhimu tusipangiane..pita huku napita kule
 
Umefanana na kak angu ananishanga sna ninavyo kuwa mnazi wa mpira Tena huu wa Tanzania nadata saa yanga anacheza nafunga Hadi ofc niende bar kutazama
 
Shida si kushabikia mpira shida ni hakuna balance.
Siku nzima mwanaume yupo kijiweni anaongelea mpira, hakipo cha ziada anachowaza maishani mwake.
Hawa na bodaboda hawana tofauti, kutwa kushinda kwenye vivuli vya miti ambayo hawakupanda na kuharass wanawake wanaopita.
Hata hivyo ni vizuri michezo kuendelea kukua, ili kusaidia kudiversify economy ya nchi, lakini inabidi uwaze, je mimi nitafaidika vipi na hizi fursa? (kupiga domo na kubeti sio faida).
Sema bora Watz wanaoshabikia mpira wa nchi yao kuliko hizo nchi nyingine za Africa wanaofuatilia ligi za Ulaya utafkiri walikuwa kitaa na Haaland.
 
Sio lazma wote tufanane ww ukipiga pesa inatosha na sio lazma wote tufanikiwe
Sku zote wachache ndo uongoza weng so acha mbambamba pambana na maisha yako
 
Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.

Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.

Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.

Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
KUWAZA kuhusu mpira ni hesabu ambazo uki zi aply kwenye maisha haufeli!!

Nilianza uraibu huu advanced level hadi leo sijutii KABISA!!
 
Shida si kushabikia mpira shida ni hakuna balance.
Siku nzima mwanaume yupo kijiweni anaongelea mpira, hakipo cha ziada anachowaza maishani mwake.
Hawa na bodaboda hawana tofauti, kutwa kushinda kwenye vivuli vya miti ambayo hawakupanda na kuharass wanawake wanaopita.
Hata hivyo ni vizuri michezo kuendelea kukua, ili kusaidia kudiversify economy ya nchi, lakini inabidi uwaze, je mimi nitafaidika vipi na hizi fursa? (kupiga domo na kubeti sio faida).
Mhmmm... ila bora Watz wanashabikia mpira wa nchi yao kuliko hizo nchi nyingine za Africa wanaofuatilia ligi za Ulaya kama vile walikuwa kitaa kimoja na Haaland.
Akili huna kubeti sio faida Mimi naingiza pesa nyingi sana Kwa mwezi kupitia betting unasema sio faida wakupime akili Mimi kazi yangu ni kubet tu na ndio inaniingizia pesa nyingi sana
 
Unakutana na kikundi cha watu wameshughulika kuzungumza.Unadhani wanapanga mipango ya maana ya kiuchumi kumbe ni mpira wa jana au utakaochezwa leo.

Zamani ilikuwa ni ligi kuu mwaka mara moja na timu maarufu Tanzania ni Simba na Yanga.Sasa hivi ni ligi tu kila siku. Mara ligi ya benki, mara ligi ya nani. Ushabiki haupo wa timu kubwa peke yake bali hata timu za vichochoroni zinawashughulisha watu nchi nzima.

Wenzenu wanatia pesa mfukoni kwa kuuza ving'amuzi,nyinyi mnaliwa tu na kupiga makele.

Mwisho wa yote ni kuharibikiwa afya na kubaki maskini omba omba au kujiingiza kwenye utapeli.Ukiondoka duniani hutakuwa na majibu mazuri kwa Mola wako na moto utauingia.
Hivi huu utaratibu wa kupangiana maisha umeanza lini? Chukua time yako bro usipende kuingilia mambo yasiyokuhusu, unajikosesha amani bure!!
 
Sasa mkuu mtu kuna mtu kaja kukuomba pesa kisa anashabikia mpira ? Au kipindi hamshabikii mpira kama taifa mlifanya kitu gani cha muhimu 🤔😂😂
Hawa wazee wa miaka hiyo wana makasiriko sana wanaona kama kuna namna kizazi chao kilipunjika na kizazi cha sasa kinafaidika sana wanashindwa kuelewa ya kwamba kila zama na kitabu chake
 
Hivi huu utaratibu wa kupangiana maisha umeanza lini? Chukua time yako bro usipende kuingilia mambo yasiyokuhusu, unajikosesha amani bure!!
Huu ni ushauri wa bure tena wa siri.Sio kupangiana maisha.Ingekuwa mnaoshabikia mpira muko sayari nyengine wala isingekuwa tabu.Lakini kumbe mnatupigia makele chini ya penu za nyumba zetu wakati mkifungwa na barabara mnazotumia mkaleta msongamano ni hizi hizi tunazotumia sote. Na pesa mnazopeleka kubeti ndio hizi hizi mngetumia kutafuta wake mkaowa.Na muda ambao mnatumia kupanga na kupangua majina ya wachezaji ndio huo huo mngetumia kulima mpunga na muhogo au kufanya shughuli nyengine za kiuchumi.
 
Sasa unashaurije mtu ambae anatumia pesa zake kuangalia mpira hujioni kama chizi sababu hajawai kukuomba hata mia ya kula
 
Back
Top Bottom