Bhana, hii shida iko nchini hapa kiasi hua sielewi, hapa sasa hv nimechomoka kanisani, nimekaa kwenye kijiwe cha kahawa lakini story zote ni mpira tu, kila kona ya nchi ni mpira tu, na hawana wanancho ingiza kwa kuongelea mpira
Watu wanawaza mademu, watu wanawaza wanaume wa kuwachuna, wanawaza kwenda club, maongezi ya kawaida mitaani ni ya kipuuzi puuzi tu yasiyo na tija, yaani taifa linaanguka hivi hivi na wale wanaosema wanashughulika na jamii wanakula tu bata.
Wadada muda wote wako TikTok, Instagram, Facebook na wanajaribu ku-copy maisha ya huko ili yawe halisi
Kuna hatari baadae ktk kizazi