Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #101
Hii kitu hakiwaathiri mashabiki peke yao.Kina maambukizi mengi katika jamii.Majirani hawalali kwa raha.Zinakuja sauti za kushtukizia watu wanashangilia goli.Kibaya zaidi wakati mwengine tuko katikati ya swala watu nyumba ya jirani wanachanganya sauti zao na za kisomo cha Imamu.Kipi kitaondosha ghadhabu za Mwenyezi Mungu hapo.Usinifokee, mtu Kama hakuombi msaada wako ya Nini kujisumbua na maisha Yake.Acha kila mtu aishi maisha Yake