Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #121
Mchambuzi mmoja ana maneno kama cherehani.Akimaliza timu hii anaunganisha na ile ya ulaya.Majina ya wachezaji wa ulimwengu mzima na magoli wanayofunga na pahala walipofunga vinatiririka kama maji.Nakumbuka kama alipata kifo cha ghafla na mashabiki sijui hata kama walikumbuka kwenda kumzika.Akaisihia hapo hapo.Mechi inachezwa dakika 95 tu ila uchambuzi wake ni wiki nzima, sijui hata huwa wanachambua nini.