Mtakuja kufa bure kwa presha. Jitahidini kutongoza. Kwa sasa wanaume hatuna muda

Mtakuja kufa bure kwa presha. Jitahidini kutongoza. Kwa sasa wanaume hatuna muda

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Dah! Sio kwamba tunashindwa la hasha! Ni kwa vile tu uchumi umeshuka, hasahasa ninyi mnaojieka ki baby Zuu, inafikia hatua tunajiuliza kuwa endapo tutawarushia nyavu, tutakuwa tayari kukabiliana na majibu machafu mtakayotupatia? Vipi kuhusu gharama za kuwalipa?

Inapotokea chance ya ninyi kuwatongoza wanaume mnaowapenda, fanyeni hivyo. Msikubali kufa na tai shingoni. Sisi wanaume ni warahisi kutongozeka

Binti mmoja alinitumia jumbe na kuniomba nishare na wanafamilia wangu uko X ili wadau wampatie ushauri
IMG_20240206_130506.jpg
 
Jirani hatongozwi.
Huwa inatokea tu ukaribu unawanufaisha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Cha ajabu huyu mdada hajanufaika dhidi ya uwepo wa jirani. Kumbe anamtaka kijana wa watu ila alisubiri aombwe ili atukane au apige vijembe. Nahizi kijana wa watu alilielewa hili hivyo kuvuta chuma kipya maghetoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Cha ajabu huyu mdada hajanufaika dhidi ya uwepo wa jirani. Kumbe anamtaka kijana wa watu ila alisubiri aombwe ili atukane au apige vijembe. Nahizi kijana wa watu alilielewa hili hivyo kuvuta chuma kipya maghetoni
kuwa na mahusiano ya kimapenz na jirani nayo ni kero, wivu mwingi na hautokuwa huru.
 
Ni hatari mno. Kwanza, jirani ana wivu sio wa kawaida. Ulinzi wake ni mkali mno. Pili, Kama yupo single atafosi ndoa, tena wengine wanategesha mimba kabisa. Tatu, jirani mwanamke anahamishia shida zote kwako, utakamuliwa hela, utamlisha, utamvisha, akiishiwa na kodi anahamia kwako, pesa inayeyuka haraka mno. Nne, kama binti anaamini kwenye uchawi, hachelewi kukuroga.


Jamaa yangu alikula, jirani ana tako kubwa mno. Shida alizopitia jamaa alihama kimya kimya, aliacha kodi ya miezi miwili, kitanda alikiacha. Na alivunja laini ya simu, akasajili namba mpya.
 
Ah kwakweli sirudii kula Jirani, Yaan sitasahau baada ya kuichapa Mbususu ya Jirani yangu kipenzi tu aliniwekea ulinzi door to door nyumba ilikuwa kama TMA, Mbona nilihama..
,🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom