Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23][emoji23]Cha ajabu huyu mdada hajanufaika dhidi ya uwepo wa jirani. Kumbe anamtaka kijana wa watu ila alisubiri aombwe ili atukane au apige vijembe. Nahizi kijana wa watu alilielewa hili hivyo kuvuta chuma kipya maghetoniJirani hatongozwi.
Huwa inatokea tu ukaribu unawanufaisha.
kuwa na mahusiano ya kimapenz na jirani nayo ni kero, wivu mwingi na hautokuwa huru.[emoji23][emoji23][emoji23]Cha ajabu huyu mdada hajanufaika dhidi ya uwepo wa jirani. Kumbe anamtaka kijana wa watu ila alisubiri aombwe ili atukane au apige vijembe. Nahizi kijana wa watu alilielewa hili hivyo kuvuta chuma kipya maghetoni
MxieeeewwJirani hatongozwi.
Huwa inatokea tu ukaribu unawanufaisha.
Kwanini?Jirani hatongozwi. Ni hatari mno
Ndio maana unaona sijawahi kukutongoza jirani๐Mxieeeeww
Na kwann unitongoze wakati unajua nna mume nimeolewa ๐๐Ndio maana unaona sijawahi kukutongoza jirani๐
Siwezi kukujibu hilo kwa sababu sitowahi kumtongoza jirani yanguNa kwann unitongoze wakati unajua nna mume nimeolewa ๐๐
Ni hatari mno. Kwanza, jirani ana wivu sio wa kawaida. Ulinzi wake ni mkali mno. Pili, Kama yupo single atafosi ndoa, tena wengine wanategesha mimba kabisa. Tatu, jirani mwanamke anahamishia shida zote kwako, utakamuliwa hela, utamlisha, utamvisha, akiishiwa na kodi anahamia kwako, pesa inayeyuka haraka mno. Nne, kama binti anaamini kwenye uchawi, hachelewi kukuroga.Kwanini?
Girl next door utamuachaje? Ukiwa na exit plan ndiyo uanze ku-mmega
,๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃAh kwakweli sirudii kula Jirani, Yaan sitasahau baada ya kuichapa Mbususu ya Jirani yangu kipenzi tu aliniwekea ulinzi door to door nyumba ilikuwa kama TMA, Mbona nilihama..