Mtakuja kutuua...

Mtakuja kutuua...

Kama ni nguvu za asili basi sawa ila kama ni msaada wa vumbi mtakuja kutuua jamani, masaa matano, matano yani namaanisha matano!!!! Yote ni pwa pwa pwa vibao vya huku hivi pa pa pa.....hata kama twapenda masafa marefu sio hivi asee sio kwa mwendo huu wa kupiga pmb la hela yote. Kausha bahari,kausha mto, kausha dimbwi.....

Ilibidi niombe ushauri juu ya ufanywaji huu nikaambiwa hivi "inatakiwa few hours before ule glucose au unywe energy drink" yani utadhani naenda kucheza football hadi glucose duh eti wanawake wenzangu hivo vya kuboost energy vinasaidia?

Hapana nafsi imesurrender japo moyo hautaki, inaonekana moyo uliridhika na mchamchaka, glucose + energy drink +vumbi la congo, moyo moyo moyo utakuja kusimama siku si zako.
Najidediketia lile songi "amekoma" side mnyamwezi

Hiyo ndo shida ya kutembea na Wanaume wasio na options nyingi za Mademu kwa hiyo siku akibahatika kupata demu anataka amalize kiu yote kwa maana hajui lini tena!
 
Back
Top Bottom