Mtakuja vunja miguu nyie

Mtakuja vunja miguu nyie

[emoji23] Navaa mara moja moja sana kama siendi mbali. Ila heels bwana ni nzuriiii mtu akivaa anapendeza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
ISiwe ndefu sana ila wanawake mna jitakiaga shida wenyewe. Kuna siku nimemuona mdada kavaa hiko kiatu kirefu alafu kilivyokaa kwenye unyayo kule kujipinda sijui kubinuka, nikabaki kucheka. Hamuumii mguu unavyokaa kama unasimamia ukucha?
 
Na nliwahi sikia kuwa high heels zinaathari kubwa kwa orgasm ya mwanamke! sijui ni kweli????
 
Kwanza hayo maviatu sijawah kuona yaliyo mpendeza,kwanza unakuta,mengine yale ambayo mbele yana uwazi unakuta mavidole yametokeza kwa mbele

Huwa naona wanawake wavijijin wanajaribu kuyavaa wanaenda kanisani au gulioni lakin wakat wa kurudi huwa wanayashikilia mikononi wanaanza kukanyaga chini
 
Fashion is all that matter, kila kiatu ina sehemu yake ya kuvaliwa.

Shida ni wewe unae enda kariakoo na heels, unasafiri kwenda popote na Heels...

High Heels ni Outing Outfit,ukiiivaa uktembea sana ni hatua 10 umefika unapoenda.

Huna Gari, Huna Hela ya Uber,Huna hela Ya Boda High heelz achia majirani zako! njoo CONTROLA outfit upate mosimo za ten ten upite hivii kama Hussein Bolt.
 
Umevaa mchuchumio (high heels) afu unatembea umbali mrefu...eti Kimanga mpaka Kinyerezi siyo mbali ujue😳 napita shortcut😎...sawa siyo mbali mwenyeji wetu...sasa ndo utembee umevaa mchuchumio?

Jaman! Yaan wadada tumekuwa na vigimbi vya miguu wachezaji mpira wakasome! Tuvae raba bas au simple shoes.. Mbona zipo na rahisi kutembelea umbali wowote.

Wanaume nanyi mnaangalia tu,eti? Mi naona hizi mambo tuwaachie wenye usafiri,eti?
🤣🤣🤣Tena mchuchumio wa mtumba.
Dk mbili umedondoka.
 
Screenshot_20230416-081106_Lite.jpg
 
Kwanza hayo maviatu sijawah kuona yaliyo mpendeza,kwanza unakuta,mengine yale ambayo mbele yana uwazi unakuta mavidole yametokeza kwa mbele

Huwa naona wanawake wavijijin wanajaribu kuyavaa wanaenda kanisani au gulioni lakin wakat wa kurudi huwa wanayashikilia mikononi wanaanza kukanyaga chini
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom