Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ofisi za umma zipi unazozizungumzia ndugu.....mbona kuna vimini vimeishia chini ya makalio vimejaa huku?Kwenye ofisi ya Umma kwa mwanamke nguo inatakiwa kuvuka magoti hasa skirt au gauni hivyo walikuwa na haki ya kumtimua
Jamani huyo polisi tako lipo upande upi?View attachment 668359 Mtalaka wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu", Faiza Ally alijikuta akizuiwa kuingia katika ofisi za RITA jijini Dar es Salaam kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha.
Askari waliokuwepo ofisi za RITA walimtaka Faiza Ally akabadili vazi na kuvaa linalostahili kuvaliwa katika ofisi ya umma. Baada ya mvutano, alijitokeza msamaria aliyemuazima mtandio ambao alivaa na ndipo aliporuhusiwa kuingia ofisini ili kutimiziwa shida iliyompeleka.
Hiyo ni sheria kwa watumishi wa umma au kila mtu?Kwenye ofisi ya Umma kwa mwanamke nguo inatakiwa kuvuka magoti hasa skirt au gauni hivyo walikuwa na haki ya kumtimua
Nimeshangaa na mi kuitwa mtalakaAlifunga ndoa na sugu lini?