Mtalaka wa Sugu azuiwa kuingia ofisi za RITA

Mtalaka wa Sugu azuiwa kuingia ofisi za RITA

Kwenye ofisi ya Umma kwa mwanamke nguo inatakiwa kuvuka magoti hasa skirt au gauni hivyo walikuwa na haki ya kumtimua
Ofisi za umma zipi unazozizungumzia ndugu.....mbona kuna vimini vimeishia chini ya makalio vimejaa huku?
 
Du! Huyo dada askari anakitambi hatari. Sidhani kama anajua rangi pochi manyoya yake bila kioo au selfie stick!!
 
Huyo askari naye zero brain attention seeker tu au alitaka kumuona kwa karibu huyo faiza, nguo aliyovaa askari nayo ni fupi kuliko ya faiza.
 
Badala ya kuimarisha huduma wanazotoa wanahangaika na masuala ya kipumbavu kama mavazi! Sasa hilo gauni linapunguza ufanisi wa hio taasisi? Au akivaa baibui ufanisi wa taasisi utaongezeka! Walazimisheni wafanyakazi wenu kuvaa madera ila sio wateja wanaowaletea hela mnazotafuta hapo, tumieni kodi zetu vizuri!
 
Inawakera sana wadada wanapoambiwa wabadilishe, Kuna siku nilikuwa ofisi za AFYA walimzuia dada mmoja ilimkera sana mpaka nikamwonea huruma. Waajiri wawaambie askari wao wajiongeze jamani. Wakati mwingine wanawadhalilisha mabinti zetu / dada zetu.
 
View attachment 668359 Mtalaka wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi "Sugu", Faiza Ally alijikuta akizuiwa kuingia katika ofisi za RITA jijini Dar es Salaam kutokana na kuvaa mavazi yasiyo na staha.

Askari waliokuwepo ofisi za RITA walimtaka Faiza Ally akabadili vazi na kuvaa linalostahili kuvaliwa katika ofisi ya umma. Baada ya mvutano, alijitokeza msamaria aliyemuazima mtandio ambao alivaa na ndipo aliporuhusiwa kuingia ofisini ili kutimiziwa shida iliyompeleka.
Jamani huyo polisi tako lipo upande upi?
 
Back
Top Bottom