mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Wewe hujawahi kuishi Kenya, yote uyasemayo hapa hayana uhusiano wowote na hali halisi ya Kenya. Inabidi utafutwe na ukamatwe kwa kusema uwongo.Labda kama wameanza mwaka jana mimi nimekaa Kenya zaidi ya miaka 20 nilijisikia niko nyumbani sikuwahi kuwa harrased hata siku moja na niliheshimika sana kama mtz. Niko comfortable kuendesha gari Kenya kuliko hata Tz kwa kuwa sikuwahi kusimamishwa na traffic hata siku moja kwa miaka yote niliyokaa Kenya. Ndugu zangu walikuwa wanakuja Nairobi na magari yao hawajawahi kuwa harrased. Lakini mkenya aingie TZ na gari ya number plate ya Kenya harassment zinaanzia longido.
Wewe hujawahi kuishi Kenya, yote uyasemayo hapa hayana uhusiano wowote na hali halisi ya Kenya. Inabidi utafutwe na ukamatwe kwa kusema uwongo.
Nakunuku'Na niwasifie wakenya ili !Nidanganye ili iweje? Na niwasifie wakenya ili iweje? Hiyo ni experience yangu toa ya kwako. Kenya nimekaa sana na ninetembea sana mpk vijijini sikuwahi kubaguliwa zaidi ya kuheshimiwa. Kisumu nimekaa nyalenda na milimani. Nimekuwa nikitembelea homabay, kendu bay, nyakwere, kisii etc. Coast nimekaa Nyali, mtwapa, Kilifi, Mariakani na ganze. Central Kenya nimekaa Sagana na kirinyaga. Last Born wangu nimezalia Embu.
Nakunuku! Na niwasifie wakenya ili iweje?Nidanganye ili iweje? Na niwasifie wakenya ili iweje? Hiyo ni experience yangu toa ya kwako. Kenya nimekaa sana na ninetembea sana mpk vijijini sikuwahi kubaguliwa zaidi ya kuheshimiwa. Kisumu nimekaa nyalenda na milimani. Nimekuwa nikitembelea homabay, kendu bay, nyakwere, kisii etc. Coast nimekaa Nyali, mtwapa, Kilifi, Mariakani na ganze. Central Kenya nimekaa Sagana na kirinyaga. Last Born wangu nimezalia Embu.
Your last born is a Kenyan citizen.Nidanganye ili iweje? Na niwasifie wakenya ili iweje? Hiyo ni experience yangu toa ya kwako. Kenya nimekaa sana na ninetembea sana mpk vijijini sikuwahi kubaguliwa zaidi ya kuheshimiwa. Kisumu nimekaa nyalenda na milimani. Nimekuwa nikitembelea homabay, kendu bay, nyakwere, kisii etc. Coast nimekaa Nyali, mtwapa, Kilifi, Mariakani na ganze. Central Kenya nimekaa Sagana na kirinyaga. Last Born wangu nimezalia Embu.
Nakunuku'Na niwasifie wakenya ili !
Nakunuku! Na niwasifie wakenya ili iweje?
' My last born wangu nimezalia Embu'
Mtwara gas makes you incredibly incoherent.
Your last born is kenyan citizen by birth.
Your last born is a Kenyan citizen.
La.noooooooo!Dont even go there InategemeaInategemea kama baba ake ni mkenya. Mtoto hana uraia wa kenya na Kenya nilishatoka.
Mtoto ni mkenya by birth.Thats a fact.Inategemea kama baba ake ni mkenya. Mtoto hana uraia wa kenya na Kenya nilishatoka.
Give evidence on this.Duniani kote hakuna wanaume wanao midomo mikubwa kama wanaume wa bongo. Huwa mnalemea hata wanawake wenu kwenye kupaza sauti na kugombana.
Husiliweke neno planned pamoja na Dar slum kwenye sentensi moja Wala hamna popote pako planned hapo Tanganyika.Ni sawa na kuzungumzia Kibera, kamwe huwezi sema Nairobi ni chafu kwa kutumia Kibera kama "point of reference". Huyo anazungumzia maeneo ya CBD na yale ambayo ni "planned areas", ambako kunapaswa kuwepo na miundombinu yote ya usafi, Kibera hata mkokoteni wa kubeba takataka hauwezi fika huko, huwezi kutegemea kuwe kusafi
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kama ambavyo ISIS wanawatia vijiti matakoni Hadi hapo Magogoni.Ndio sababu Alshabaab wanawachomeka vidole mat**akoni kila mara kadri wapendavyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
You are a sober-minded, wise woman. Congratulations.Nidanganye ili iweje? Na niwasifie wakenya ili iweje? Hiyo ni experience yangu toa ya kwako. Kenya nimekaa sana na ninetembea sana mpk vijijini sikuwahi kubaguliwa zaidi ya kuheshimiwa. Kisumu nimekaa nyalenda na milimani. Nimekuwa nikitembelea homabay, kendu bay, nyakwere, kisii etc. Coast nimekaa Nyali, mtwapa, Kilifi, Mariakani na ganze. Central Kenya nimekaa Sagana na kirinyaga. Last Born wangu nimezalia Embu.
Usisahau ombaomba kutoka Tanzania.Nairobi ndo Base ya machokoraa wote wa Kenya sitoshangaa jiji la Nairobi kunuka kinyesi.