Mtalii alalamikia ukosefu wa usalama na uchafu Nairobi

Mh! Labda Hilo la usalama lakini uchafu mbona hta dar ni pachafu Sana?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Dar ni miongoni mwa majiji masafi sana hapa Africa, weka ushahidi kwamba Dar ni chafu, kama unazungumzia Vingunguti na mitaa ya vichochoroni, Hiyo ni habari tofauti, lakini hakuna mgeni hata mmoja aliyelalamika kuhusu uchafu au ukosefu wa usalama Dar

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
So hizo mitaa ulizotaja sio za Dar?
 
So hizo mitaa ulizotaja sio za Dar?
Ni sawa na kuzungumzia Kibera, kamwe huwezi sema Nairobi ni chafu kwa kutumia Kibera kama "point of reference". Huyo anazungumzia maeneo ya CBD na yale ambayo ni "planned areas", ambako kunapaswa kuwepo na miundombinu yote ya usafi, Kibera hata mkokoteni wa kubeba takataka hauwezi fika huko, huwezi kutegemea kuwe kusafi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ni sawa na kuzungumzia Kibera, kamwe huwezi sema Nairobi ni chafu kwa kutumia Kibera kama "point of reference". Huyo anazungumzia maeneo ya CBD na yale ambayo ni "planned areas", ambako kunapaswa kuwepo na miundombinu yote ya usafi, Kibera hata mkokoteni wa kubeba takataka hauwezi fika huko, huwezi kutegemea kuwe kusafi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Haaa haaa
😁😆😀
Kibera hata sehemu ya kuchimba choo hamna. Ndiyo maana wakawa innovative kwa kuanzisha flying toilets. The toilets of its own kind on earth.
 
Haaa haaa
[emoji16][emoji38][emoji3]
Kibera hata sehemu ya kuchimba choo hamna. Ndiyo maana wakawa innovative kwa kuanzisha flying toilets. The toilets of its own kind on earth.
Na hiyo ndio innovation pekee iliyovumbuliwa na ngozi nyeusi bila kuwategemea mabwana zao na ikafanikiwa failed state [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni sawa na kuzungumzia Kibera, kamwe huwezi sema Nairobi ni chafu kwa kutumia Kibera kama "point of reference". Huyo anazungumzia maeneo ya CBD na yale ambayo ni "planned areas", ambako kunapaswa kuwepo na miundombinu yote ya usafi, Kibera hata mkokoteni wa kubeba takataka hauwezi fika huko, huwezi kutegemea kuwe kusafi

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mbona basi unatumia kibera na turkana ku conclude km wakenya ni maskini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
MY TAKE: Hii ni miongoni mwa sababu kubwa Diaspora na Afro Americans wamechagua kuja Tanzania kwa wingi kutokana na usalama wa Tanzania

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Kwa kweli Kenya yabidi kubadilika....hata watanzania wakienda Kenya wanachukiwa sana na kua harassed. Wao wakija huku Tanzania hatuna matatizo wala time na wao.....wapo tu freely wanakula raha without being harassed.
 
Acha kuongea vitu kisengerenyuma wewe, kuna watu ambao wana umimi na umbea km wabongo..
Mtu akiwa mgeni hko kwenu kazi kumfuatilia wala hamumpi pumzi..
Eti utasikia tena yule ana vibali kweli au raia haramu[emoji1787][emoji1787]

Kenya hakuna mtu ambae ana time na maisha ya watu
 
Ndio sababu Alshabaab wanawachomeka vidole mat**akoni kila mara kadri wapendavyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuongea vitu kisengerenyuma wewe, kuna watu ambao wana umimi na umbea km wabongo..
Mtu akiwa mgeni hko kwenu kazi kumfuatilia wala hamumpi pumzi..
Eti utasikia tena yule ana vibali kweli au raia haramu[emoji1787][emoji1787]

Kenya hakuna mtu ambae ana time na maisha ya watu
I think you are drunk....haya uliyosema ndiyo yanatokea Kenya...here in Tanzania who the hell gives a damn about Kenyans, be honest to yourself.
 
Dar ni miongoni mwa majiji masafi sana hapa Africa, weka ushahidi kwamba Dar ni chafu, kama unazungumzia Vingunguti na mitaa ya vichochoroni, Hiyo ni habari tofauti, lakini hakuna mgeni hata mmoja aliyelalamika kuhusu uchafu au ukosefu wa usalama Dar

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
We jamaa miyeyusho Sana.

Bila Shaka utakuwa unaishi dar ya brunei

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
I think you are drunk....haya uliyosema ndiyo yanatokea Kenya...here in Tanzania who the hell gives a damn about Kenyans, be honest to yourself.
Nani asiyewajua nyie wapenda kupiga soga na kufuatilia yasiyowahusu..
 
Back
Top Bottom