Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Mo pesa zake bora akaanzishe mradi wa ma kufuga samaki .... atengeneze mabwawa ya kutosha kabisa. ..hicho kilimo kitamsaidia mnoo kumuongezea mapato katika acc zake ..nchi nayo itanufaika pia kwa sababu kuna vijana ambao watapata ajira. Pia serikali itapata kodi ..achilia mbali wafanya biashara watakao nufaika kwa kupata soko la uchukuzi wa samaki " wao watakuwa wana wanunua na kuwauza kwa wateja wa majumbani mahotelini " na ma -butcher's hapo bado kuna watakao nufaika kwa kupata tenda za usafirishaji ..

Hahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…