Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Hawa waarabu si watu wazuri boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa waarabu si watu wazuri boss
Hivi ni kweli simba hatujui mpira au kuna shida nyingine?
Siamini.
Yaani hadi roho inauma!!
Sasa mashabiki ndio wapo uwanjani, ngoja mpewe Tisasisi mpira bado. shida yetu washabiki wanaongea kama wanacheza wao,
Wanajua hilo basi Waarabu hawa..wao ni kudunda tu.Kila la kheri Simba ,Simba mnyama mkali ,Simba taifa KUBWA ..simba nguvu moja
Chaneli gani hiyo ??Mimi naangalia channel wanayotangaza kiarabu raha sana [emoji23][emoji23][emoji23]