Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Naipenda SIMBA na nitaendelea kuipenda Simba ,ila sifurahishwi na baadhi ya wachezaji wetu
 
Sasa Mkuu huko kwao joto si ndio kwao? Yani unamtishia Muarabu joto? Kuwa serious bhana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Waarabu wa Algeria walichemka hapa kwao kuna 7° wakakutana na 32° kwanini wasinuke damu? Hata Al ahly ataisoma namba
 

Nyie mnajua mbinu kali za kufungwa goli ndani ya dakika 40
 
Hahaha pole sana kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papaa Zahera aliwaeleza mapemaView attachment 1011842

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye kocha wa yanga mambo ya simba yanamuhusu nini? Sijawahi kumsikia Guardiola akizungumzia mechi la Liverpool ambazo hazimuhusu huu ni upumbavu.
.
Huyu mkongo anataka kujifanya anajua sana kila kitu kuchangisha pesa yeye, uafisa habari yeye, utunza hazina yeye pumbavu
 
Hawajui walitendalo..Unajua shida ya kukaa sana bwawani, siku ukija kuvuliwa unakuwa kama zezeta[emoji196][emoji196][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa yupo siriaz kinoma.
Mjomba anagalia hata ninavyomaliza comments zangu naweka emoji gani. Sio kwamba naandika kwa hasira ni ile kuchangamsha genge tu sasa naona una catch feelings. Hiyo ni juu yako wala sihusiki hata. Ningekuwa toxic wala hapa nisingekuwepo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira hauchezwa na mdomo bali ni mchezo wa mguu na bidii. Tanzanian top side Simba has been humiliated for the second time in a row in an African tournament, CAF.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…