Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

Alipeleka timu kufanya nini kama hali yenyewe ndio hiyo, kocha angetoa tahadhari mapema kuwa jamani kule tunafuata mkono, mashabiki wajipange kisaikolojia. Sio unapigwa baadae ndio unatoa siri.....rudini mpambane na watani wenu Yanga, coastal union, TZ prison na wengine.
 
Usisahu simba nao wana majeruhi watatu ,book,nyoni ,kapombe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ noma sana
 
Taarifa za hivi punde zinasema half time AL AHLY kwenye dressing room walipenyezewa taarifa kuwa chanzo cha mto nile ambao unategemewa sana kwa shughuli za kilimo cha umwagiliaji misri ni Ziwa victoria ambalo lipo Tz kwa asilimia kubwa , walivyopata taarifa hyo wakalalamika wachezaji wakasema wangejua mapema wasiwapiga Khamsa wakaamua kurelax kpnd cha pilli
 
Hahaaaa. Kuumbeeee.

Yabidi wamshukuru huyo mpenyezaji sababu bila hivyo wangezioga goli.
 
MPIRA UNACHEZWA NDANI YA UWANJA, TUACHE KUWALAUMU SIMBA AU KUWAONA HAWAJUI! WALICHOFANYA NDIYO UWEZO WAO TU! ILA HIKI NI KIPINDI CHA MPITONTU! SIMBA PESA ZIPO ILA BADO HAKUNA VIONGOZI NA WACHEZAJI WA VIWANGO VYA KIMATAIFA, WAPO WACHACHE SANA! HAUWEZI KUTWAA TAJI LA KLABU BINGWA AFRIKA KAMA HAUNA WACHEZAJI WA VIWANGO VYA KIMATAIFA.. MNAIKUMBUKA TP MAZEMBE YA SAMATA?

SIMBA INA WACHEZAJI WANGAPI WANAOLINGANA NA WALE WA AL AHLY? UNAWEZA KUFUNGWA NA YEYOTE TU HAIJALISHI UNA WACHEZAJI WA AINA GANI. MSIMU WA 2017/2018 LA LIGA; BARCA ALICHAPWA 5-4 NA LEVANTE; SEVILA KACHAPWA 6: 1 NA BARCA QUARTER FINAL COPER DELAY ; 2018/2019; REAL MADRID KACHAPWA 5-1 NA BARCA! SERIE A; ROMA KACHAPWA 7-1 NA FIORENTINA; 2016/17 UCL; PSG KACHAPWA 6-1 NA BARCA;

MPIRA UNADUNDA NDANI YA UWANJA WADAU WA SOKA; KUBALINI KUBALINI KUWA SIMBA NI TIMU KATIKA TANZANIA HAKUNA TIMU KAMA SIMBA HAPA; KUNA WACHEZAJI WA KILA AINA PALE ILA HAKUNA ORGANIZATION IMARA YA WACHEZAJI KATIKA MFUMO
 
Hamna timu pale, acha kubabaika.
 
Mechi iliyopaswa kuilaumu na kuchambua mapungufu ya Simba na Mpira wetu Tanzania ki ujumla ilikua ni game ya Michuano ya Sportpesa dhidi ya Mbao,pale ndio tungeweka vikao na makundi kujadili tatizo liko wapi
Sasa Leo unashindwa kuifunga Mbao nyumbani kwako tena kwa juhudi zote unategemea vipi utamfunga al-ahly nyumbani kwake?
Yanga,alitolewa mapema nae michuano ya Sportpesa akiwa Nyumbani...Soon anaenda kucheza na Namungo Fc Ya Lindi na huko tutegemee atoe suluhu au afungwe,unategemea Yanga ataweza mfunga timu kama Vita Fc ya Drc?
Tuweke mijadala nini kifanyike kuinua Soka la Taifa na sio kulaumu jambo ambalo majibu yake yalikua wazi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…