Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Naona leo unafanya sherehe hapo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAKUNA HABARI YOYOTE MKUUMajirani kwema, kuna habari gani?
Hahaaaa. Acha bangeMimi naangalia channel wanayotangaza kiarabu raha sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo wanapigwa 8,.. labda tu wagome kuingiza team uwanjani sec.half
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale soura ni balaa huwajui wew...subir simba aende kulee...hapa walifanyiwa hujuma
Sent using Jamii Forums mobile app
AL AHLY ARE MISSING NINE FIRST TEAM PLAYERS.........
Somaaaaa hiyo wee injiniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMkuu tunakikosi kipana sana!!!! Ambacho mda wowote kinaweza Fanya jambo lolote
Kiukweli waarabu wametuacha mbali Sana wanacheza mpira was akili na speed
Tunasemaga wanapendelewa lakini kiukweli mpira wanaujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes....wachezaj tisa wa kikos cha kwanza hawapo na weng ni majeruhiKweli?
Hahahaha usijali mkuu hadi kesho asubuhi fahamu zitakuwa zimekurudia.Inamaana JF yote ni mashabiki ya vyura?
HahaaaKatika uzi huu Leo nimeona mashabiki wengi wapya na hawa ndiyo wachawi wetu
Sent using Jamii Forums mobile app