Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo lazima tuige kila kituHata Kenya ambapo wapo wazungu wengi sana wanaishi na kumiliki mashamba na biashara kubwa na wakenya wengi sana husafiri kwenda kokote duniani, kiwanja cha kimaifa kwa maana halisi ni Jomo Kenyatta International Aiport, hata Mombasa International Airport in feed JKIA tu hairushi ndege moja kwa moja Dubai au Amsterdam. Sasa international airport Mwanza si itakuwa hasara tupu?
Mwanza haina abiria wengi wanaoweza kusababisha kujengwa international airport. Hakuna shughuli za kimataifa kama Arusha, Dar, Dodoma. Mnataka international airport ya nini?
Hauko sahihi hebu rejea tafiti zako upyaMimi naipenda Mwanza sana na nashangaa kwanini serikali haiendelezi mji mzuri na mkubwa kama Mwanza. Mwanza ilipaswa kuwa jiji kubwa na zuri kweli kweli. Ilipaswa barabara ya njia nane kilometer 30 kabla ya kufika katikati ya mji, treni nzuri, kiwanja kikubwa cha mpira kama cha Dar, n.k.
Ila Mwanza kwa international airport bado.
Unakosea kuhusu viwanja bize vya ndege nchini, ipo hivi:
1. Dar (JNIA)
2. Zanzibar (ZNZ)
3. Kilimanjaro (JRO)
4. Arusha (ARK)
5. Dodoma (DOD)
6. Mwanza (MWZ)
Sote tunajua jinsi uwanja wa ndege Chato (HTGE) unavyotumika na wenyeji kuanikia mpunga. Sasa hapo Mwanza mnataka uwanja wa kimataifa wa ndege kwa kuanikia sangara? Kazi za viwanja vya kimataifa sio hiyo!
Nina mashaka hata kama ushawahi safiri kwenda Mwanza kutumia Usafiri wa ndegeMwanza bado kabisa hata huo uwanja mdogo tu abiria ni wachache international airport ya nini?
Huyo unayemcommentia kakuhangaisha tu bure mzee wa watu!Mimi ninazo sababu za Mwanza kuwa na international airport km ifuatavyo:
1. ni jiji la pili Tanzania kiuchumi kwa Dar
2. jiji hili liko kimkakati "strategic" kwenye ukanda wa nchi za Maziwa Makuu,Kenya,Uganda,Rwanda, Burundi,DRC, kibiashara
3.Ni mwisho na kituo kikuu cha SGR, ina Bandari kubwa kavu na Majini kanda ya ziwa Makuu ndani ya ziwa viktoria
4.Hakuna uwanja wa ndege kimataifa kanda ya ziwa na magharibi,mazao ya samaki na nyama husafirishwa kupitia kenya na uganda na hivyo kunufaisha nchi hizo kiuchumi kwa mgongo wa Tanzania
5 Kiutalii Iko karibu na mbuga za Serengeti, Burigi Chatto na Rumanyika, uwepo wa uwanja wa ndege wa kimataifa utanufaisha nchi yetu kimapato.
6.uchumi wa kanda ya ziwa ni mkubwa kuna madini,kilimo,uvuvi,mifugoetc husafirishwa kupitia Nairobi au JNIA gharama kubwa za uzalishaji ns usafirishaji kwa mwekezaji
7.Uwanja huu unatumika na abiria wengi ni namba nne kwa JNIA,KIA na ZNZ airprt.ATCL inapeleka ndege mara 4- 5 inahudumia abiria wengi kuliko jiji lingine ukiacha dar nchini.
8. Angalau kuna miundo mbinu inayokubalika na ICAO na IATA Km Rada,control tower ya kisasa na barabara njia 4 kuingia uwanjani upungufu mkubwa uiopo ni jengo la abiria na mizigo, upanuzi wa njia ya kurukia ndege na taxi parking,hotel etc
9.Ilani ya uchaguzi ya ccm 2020 inaitaka serikali kujenga uwanja wenye hadhi ya kimataifa Mwanza. Ni kipaumbele cha kitaifa
jesababu hizi zote unazionaje hazitoshi kuufanya uwe wa kimataifa.
Ka uwanja ka Arusha, sio KIA, kale ka uwanja ka Arusha mjini kapo bize zaidi ya Mwanza, soma hapa chini:Nina mashaka hata kama ushawahi safiri kwenda Mwanza kutumia Usafiri wa ndege
Mimi naona Watanzania bado tuna mambo ya kitoto sana! Kwa vile Arusha kuna mbuga nyingi za wanyama na utalii kwa ujumla kwa hiyo sehemu zingine hazitakiwi kukua kiutalii kwa sababu zitafifisha utalii wa Arusha! Ndo maana nchi hii bado Maskini sana!Sawa ila lazima uangalie ukaribu na vivutio hivyo na vipo vingi sehemu gani. Huwezi kujenga tourist hub Kigoma ambapo vivutio vya utalii ni vichache ukaacha kujenga hub hiyo mahali kama Arusha ambapo vivitio hivyo vimelundikana. Mwanza ukiacha Ziwa Victoria kuna national parks ngapi ukilinganishwa na ukanda wa Kaskazini? Kilimanjaro national park, Mkomazi np, Arusha np, Tarangire np, Manyara np, Ngorongoro np, na nyingine nyingi. Kwanini kuanza kuvunja nguvu hii kwa kuanzisha circuits nyingine pengine zitazoongeza gharama tu kwa serikali na watalii?
Utakuwa una matatizo ya kipekee sana kama una mawazo ya aina hii!Sote tunajua jinsi uwanja wa ndege Chato (HTGE) unavyotumika na wenyeji kuanikia mpunga. Sasa hapo Mwanza mnataka uwanja wa kimataifa wa ndege kwa kuanikia sangara? Kazi za viwanja vya kimataifa sio hiyo!
Hii orodha umeitoa wapi? Weka chanzo cha taarifa hii tuione wenyewe.Unakosea kuhusu viwanja bize vya ndege nchini, ipo hivi:
1. Dar (JNIA)
2. Zanzibar (ZNZ)
3. Kilimanjaro (JRO)
4. Arusha (ARK)
5. Dodoma (DOD)
6. Mwanza (MWZ)
Kwa hiyoUjinga wako ni mkubwa mno wewe. Kama una akili za kusoma na kuelewa basi soma hapo chini. Mwanza inazidiwa hata na uwanja mdogo wa Arusha achilia mbali KIA. Mwanza aiport haipo hata namba 6 labda 7.
The busiest airports in Tanzania, based on total passenger traffic, are:
- Julius Nyerere International Airport (DAR): Located in Dar es Salaam, this is the largest and busiest airport in Tanzania, handling around 2.5 million passengers annually. It is the main gateway to the country and serves as a hub for several airlines.
Opens in a new window
en.wikipedia.org
Julius Nyerere International Airport, Tanzania- Abeid Amani Karume International Airport (ZNZ): This airport is situated on Zanzibar Island and is the second busiest in Tanzania. It caters mainly to tourists visiting Zanzibar's beautiful beaches and resorts, with a passenger volume of approximately 1.7 million annually.
Opens in a new window
en.wikipedia.org
Abeid Amani Karume International Airport, Tanzania- Kilimanjaro International Airport (JRO): Located near Kilimanjaro National Park, this airport is a major gateway for tourists visiting the northern safari circuit. It handles around 1.2 million passengers each year.
Opens in a new window
en.wikipedia.org
Kilimanjaro International Airport, Tanzania- Arusha Airport (ARK): This is a smaller airport compared to the others on this list. However, it plays a crucial role in domestic travel within Tanzania, particularly for tourists on safari adventures.
Kutuwekea hii orodha uliokota huko google bado haileti sababu zenye mantiki kwamba kwanini Mwanza isiwe na international airport....kwa kwa akili yako basi Arusha ina sifa za kuwa na international airport kuliko mwanza kwa sababu ulizoziweka hapo licha ya kwamba ule wa KIA upo hapo jirani au??Ujinga wako ni mkubwa mno wewe. Kama una akili za kusoma na kuelewa basi soma hapo chini. Mwanza inazidiwa hata na uwanja mdogo wa Arusha achilia mbali KIA. Mwanza aiport haipo hata namba 6 labda 7.
The busiest airports in Tanzania, based on total passenger traffic, are:
- Julius Nyerere International Airport (DAR): Located in Dar es Salaam, this is the largest and busiest airport in Tanzania, handling around 2.5 million passengers annually. It is the main gateway to the country and serves as a hub for several airlines.
Opens in a new window
en.wikipedia.org
Julius Nyerere International Airport, Tanzania- Abeid Amani Karume International Airport (ZNZ): This airport is situated on Zanzibar Island and is the second busiest in Tanzania. It caters mainly to tourists visiting Zanzibar's beautiful beaches and resorts, with a passenger volume of approximately 1.7 million annually.
Opens in a new window
en.wikipedia.org
Abeid Amani Karume International Airport, Tanzania- Kilimanjaro International Airport (JRO): Located near Kilimanjaro National Park, this airport is a major gateway for tourists visiting the northern safari circuit. It handles around 1.2 million passengers each year.
Opens in a new window
en.wikipedia.org
Kilimanjaro International Airport, Tanzania- Arusha Airport (ARK): This is a smaller airport compared to the others on this list. However, it plays a crucial role in domestic travel within Tanzania, particularly for tourists on safari adventures.
Ni lijitu la kaskazini hilo, linasumbuliwa na chuki za kikanda ndio maana limeshupaza shingo kuona sehemu zingine hawastahili kuwa na mtaendeleo kwenye usafiri wa anga kimataifa... hao wanaamini huko kwao kaskazini ndio wanastahili mambo yote ya maana ikiwemo miundo mbinu iliyobora.Utakuwa una matatizo ya kipekee sana kama una mawazo ya aina hii!
Hapana haiko hivyo Namba 4 ni Mwanza airport baada ya Kilimanjaro acha kutuongopeaKa uwanja ka Arusha, sio KIA, kale ka uwanja ka Arusha mjini kapo bize zaidi ya Mwanza, soma hapa chini:
Show drafts
volume_up
![]()
The busiest airports in Tanzania, based on total passenger traffic, are:
- Julius Nyerere International Airport (DAR): Located in Dar es Salaam, this is the largest and busiest airport in Tanzania, handling around 2.5 million passengers annually. It is the main gateway to the country and serves as a hub for several airlines.
Opens in a new window
en.wikipedia.org
Julius Nyerere International Airport, Tanzania- Abeid Amani Karume International Airport (ZNZ): This airport is situated on Zanzibar Island and is the second busiest in Tanzania. It caters mainly to tourists visiting Zanzibar's beautiful beaches and resorts, with a passenger volume of approximately 1.7 million annually.
Opens in a new window
en.wikipedia.org
Abeid Amani Karume International Airport, Tanzania- Kilimanjaro International Airport (JRO): Located near Kilimanjaro National Park, this airport is a major gateway for tourists visiting the northern safari circuit. It handles around 1.2 million passengers each year.
Opens in a new window
en.wikipedia.org
Kilimanjaro International Airport, Tanzania- Arusha Airport (ARK): This is a smaller airport compared to the others on this list. However, it plays a crucial role in domestic travel within Tanzania, particularly for tourists on safari adventures.
Inanilazimu nikubaliane na wewe, kwamba huyu mkuu 'fazil' ni kati ya watu ambao wana hofu kubwa sana juu ya kuinuka kwa Jiji la Mwanza; hofu ambayo haipaswi kuwepo hata kidogo.Ni lijitu la kaskazini hilo, linasumbuliwa na chuki za kikanda ndio maana limeshupaza shingo kuona sehemu zingine hawastahili kuwa na mtaendeleo kwenye usafiri wa anga kimataifa... hao wanaamini huko kwao kaskazini ndio wanastahili mambo yote ya maana ikiwemo miundo mbinu iliyobora.
Fala sana huyo jamaa,
Arusha na Dodoma mmezoea kubebwa na serikali iko siku!Wakipitia Arusha ndio kila kitu kwanza wanaanza na:
My Kilimanjaro, then
Arusha national park
Tarangire
Manyara
Ngorongoro halafu ndio
Serengeti
Arusha pamekaa kistratejia zaidi