Mtandao wa Airtel mnatumiwa Polepole wa CCM, kutoa namba za watu kuwaomba kura

Mtandao wa Airtel mnatumiwa Polepole wa CCM, kutoa namba za watu kuwaomba kura

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Kitendo cha mtandao wa Airtel kugawa namba za watu kwa CCM bila ridhaa zao na kuwatumia ujumbe wa kuwaomba kura uungwa kabisa. Huu ujumbe ambao unamuombea Magufuli kura unaonekana kua ni maneno ya msemaji wa CCM Humphrey Polepole kuwaomba watu kura. Ni usumbufu kitendo hiki kutawakosesha wateja.

Screenshot_20201018-023655~2.png
 
Mbinu ya kipuuzi hiyo itamshawishi nani..
 
Mie nadhani hizi kampuni kama zimeamua hivyo, zitoe fursa kwa wote na sio tupeleke za kumuombea Lipumba.
 
CCM baada ya kupora Shea za Mzee Bharti sasa wameanza Blackmailing dhidi ya Wananchi
 
Nafikiri Suzana Lyimo (sikumbuki jina vyema) ni text iliyoingia jana. Aliniomba kura ya ubunge.

Ni Chadema huyu mgombea. Also sms ilitokea namba ya Airtel
 
Hao airtel lazima wafe kama ilivyokufa Startv, maana ukishirikiana na shetani lazima mauti ikuhusu
 
Wanavunja sheria ya usiri wa mteja. Kitendo hiki kinadhihirisha kuwa CCM wamehaha pamoja na kwamba wamefanya siasa miaka 5 peke yao. 80% ya wapiga kura kwa wakati huu wamekwisha kuamua nani wa kumpa kura. Ujumbe huu hauwezi ukamubadilisha mpiga kura. Wamechelewa sana.
 
Back
Top Bottom