Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Pumzi imekata sasa AIRTEL mmeamua kuhujumu wapigania haki, hatukubali na adhabu yenu ni sisi sote kuhama na kuhamia mitandao mingine
Kwa akili yako startv imekufaHao airtel lazima wafe kama ilivyokufa Startv, maana ukishirikiana na shetani lazima mauti ikuhusu
"Reactions" zenu tu wana CCM zinaonyesha mmechoka sana.Mbona ukipata ujumbe wa polisi hulalamiki? We kenge huna akili.
Mh, kamanda huna aibu?"Reactions" zenu tu wana CCM zinaonyesha mmechoka sana.
Iko hoi kwa Mambo hayo ya ukada.Kwa akili yako startv imekufa
Mimi nasubiri kwa hamu kupata SMS kutoka kwa mgombea huyo. Nitamkatalia hapo hapo na kumwambia kura yangu ni kwa Tundu Lissu!Naam. Futilia mbali SMS za chama cha majambazi na tarehe 28 Okt 2020 pigia kura Lissu.
Sawa ni haki yako, hupangiwi na wala hufokewi na mtu lakini siyo lazima utangizie umma utampigia nani. Kura ni siri ya mtuMimi nipo Chadema kura ya urais ni kwa JPM
Yaani hii CCM ya utatu wenye laana inachekesha kwa jinsi ilivyo changanyikiwa;Wapigeni block wapuuzi hao
Airtel wananidai laki 460,000/ timiza,wakinitumia ujumbe wa MaCCM,nachoma line yao.Wapigeni block wapuuzi hao
Halafu eti kuna mkutano wa sekta binafsi kupongeza ha ha ha haaaaCCM baada ya kupora Shea za Mzee Bharti sasa wameanza Blackmailing dhidi ya Wananchi
Umuhimu wa ujumbe wa Polis utaulinganisha na mambo ya kijing ya jiwe au ccm?Mbona ukipata ujumbe wa polisi hulalamiki? We kenge huna akili.
Mkuu hakuna mtandao wa simu uliotoa taarifa za mteja, CCM na NEC wametumia DATABASE ya NIDA kupata namba za wateja wa mitandao yote!! Kisha wakaenda kwa watu wa BULK SMS na kuwapa hizo namba ,hao watu wa BULK SMS wana SMPP accounts kwenye mitandao ya simu....Mfano unavyoenda NMB ukidraw mtonyo kwenye ATM unavyopata SMS ya muamala ,sio kwamba mtandao ndio wametuma la ni NMB kupitia smpp account yao ndio wametuma taarifa za muamala sema kwa hapa number wewe ndio uliwapa NMB via simbanking ila kwa CCM wamechukua namba NIDA maana NIDA kuna MANYOKA(TEETH) wengi.Kitendo cha mtandao wa Airtel kugawa namba za watu kwa CCM bila ridhaa zao na kuwatumia ujumbe wa kuwaomba kura uungwa kabisa. Huu ujumbe ambao unamuombea Magufuli kura unaonekana kua ni maneno ya msemaji wa CCM Humphrey Polepole kuwaomba watu kura. Ni usumbufu kitendo hiki kutawakosesha wateja.
View attachment 1603566
Kutumiwa sms siyo lazima utekeleze uliyoambiwa ndiyo maana ameomba kama hutompa basi una kaa kimya! Mbona Mimi nimetumiwa na nilshaamua nutampa kura jpm
Kamanda hujui umuhimu wa kuwa na Amiri jeshi makini?Umuhimu wa ujumbe wa Polis utaulinganisha na mambo ya kijing ya jiwe au ccm?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa akili yako startv imekufa
Jamani mbona mimi sijatumiwa?watume kwa wingi ikiwezekana kwa watanzania wote wenye kununa na wanune.Natumia aitel nimefurahi sana kutumiwa sms ya kuomba kura tarehe 28/10 nitakwenda kumpigia kura jpm asubuhi sana