dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,755
- 2,740
Wanasiasa mnamamboBOYCOTT AIRTEL!
Mlishamalizana na VODA sasa mko Airtel.
Hatutashangaa kuwakuta siku nyingine mnatwambia tena tuvunje line za voda basi tutabaki tuajiuliza kwani lini mlitwambia tujiunge tena baada ya kuzivunja
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app