Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Mbona ukipata ujumbe wa polisi hulalamiki? We kenge huna akili.
Mimi nipo Chadema kura ya urais ni kwa JPMNaam. Futilia mbali SMS za chama cha majambazi na tarehe 28 Okt 2020 pigia kura Lissu.
Bila kumtaja Mbowe uwa haulipwi?Jumapili hii nikipata konyagi kubwa itakuwa safi sana,kama lile analotumia mwenyekiti wetu.
Mwenyekiti wangu kamanda.Bila kumtaja Mbowe uwa haulipwi?
BOYCOTT AIRTEL!Airtel ni wapuuzi sn wanatumiwa na CCM bila sababu za msingi
WabadilikeBOYCOTT AIRTEL!
Kupokea ujumbe kutoka kwa CCM nisawa na kupokea ujumbe kutoka kwa shetani hili halivumilki!Kunatofauti gani Kati ya JIWE na shetani mtoa roho za watuMbona ukipata ujumbe wa polisi hulalamiki? We kenge huna akili.
Ujue lakini kenge hapigi kuraMbona ukipata ujumbe wa polisi hulalamiki? We kenge huna akili.