Mtandao wa Airtel mnatumiwa Polepole wa CCM, kutoa namba za watu kuwaomba kura

Pumzi imekata sasa AIRTEL mmeamua kuhujumu wapigania haki, hatukubali na adhabu yenu ni sisi sote kuhama na kuhamia mitandao mingine
 
Naam. Futilia mbali SMS za chama cha majambazi na tarehe 28 Okt 2020 pigia kura Lissu.
Mimi nasubiri kwa hamu kupata SMS kutoka kwa mgombea huyo. Nitamkatalia hapo hapo na kumwambia kura yangu ni kwa Tundu Lissu!
 
Wapigeni block wapuuzi hao
Yaani hii CCM ya utatu wenye laana inachekesha kwa jinsi ilivyo changanyikiwa;

Magu
&
Bashiru
&
Polepole.

Yaani kila njia wanayoshika INA back fire mikononi mwao
 
Kutumiwa sms siyo lazima utekeleze uliyoambiwa ndiyo maana ameomba kama hutompa basi una kaa kimya! Mbona Mimi nimetumiwa na nilshaamua nutampa kura jpm
 
Kampuni ya simu ishitakiwe na kulipa fidia kwa usumbufu na ukosefu wa uaminifu huu.

Kama wanaweza kutoa namba hivi, wanaweza hata kudukua maongezi ya faragha ya watu.

It's the same principle.
 
Mkuu hakuna mtandao wa simu uliotoa taarifa za mteja, CCM na NEC wametumia DATABASE ya NIDA kupata namba za wateja wa mitandao yote!! Kisha wakaenda kwa watu wa BULK SMS na kuwapa hizo namba ,hao watu wa BULK SMS wana SMPP accounts kwenye mitandao ya simu....Mfano unavyoenda NMB ukidraw mtonyo kwenye ATM unavyopata SMS ya muamala ,sio kwamba mtandao ndio wametuma la ni NMB kupitia smpp account yao ndio wametuma taarifa za muamala sema kwa hapa number wewe ndio uliwapa NMB via simbanking ila kwa CCM wamechukua namba NIDA maana NIDA kuna MANYOKA(TEETH) wengi.
 
Uko sawa sms zinaingia nyingi hata zile tuma kwenye namba hii huwa tunazikaushia.
Kutumiwa sms siyo lazima utekeleze uliyoambiwa ndiyo maana ameomba kama hutompa basi una kaa kimya! Mbona Mimi nimetumiwa na nilshaamua nutampa kura jpm
 
Natumia aitel nimefurahi sana kutumiwa sms ya kuomba kura tarehe 28/10 nitakwenda kumpigia kura jpm asubuhi sana
Jamani mbona mimi sijatumiwa?watume kwa wingi ikiwezekana kwa watanzania wote wenye kununa na wanune.
 
Wakijologa wakanitumia meseji kama hyo navunja vunja li laini lao siku hyo hyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…