Mtandao wa Airtel mnatumiwa Polepole wa CCM, kutoa namba za watu kuwaomba kura

Chama Cha Mapumziko wana vituko! Halafu wakitoka hapo wanaenda kuweka vitakwimu uchwara Twitter kule kuwa jpm anakubalika na atashinda kwa kishindo 98%
 
Nafikiri Suzana Lyimo (sikumbuki jina vyema) ni text iliyoingia jana. Aliniomba kura ya ubunge.

Ni Chadema huyu mgombea. Also sms ilitokea namba ya Airtel
Embu screen shot hiyo msg itume hapa tuthibitishe ulichopost
 
Ccm wamelipia mkuu
 
Mbali na kutoa namba wametoa na Majina pia
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. Wanatumia nguvu nyingi sana washajua hawapendwi.
 
Nikitumiwa mm nitaivunja laini ya airtel na itakuwa mwisho kutumia airtel
 
Nimesikitika kwanini mimi Airtel hawajanitumia? Ila watume wasitume mapema nitakuwa kituoni na nitafanya yafuatayo:-
1.Urais nampigia JPM
2. Ubunge namchagua wa CCM
3. Udiwani namchagua wa CCM

Ungana nami October 28th kura za kishindo kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…