Majan
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 1,271
- 1,828
Airtel wameshanipigia simu mara kadhaa kunitaarifu kuwa eneo nililopo wameshaunganisha huduma ya 4g hivyo niende dukan kwao nikabadili lain yangu kuwa 4g kwa gharama ya shilingi elf moja,kila siku nawajibu kistaarabu tu ila nimepanga wakija kunipigia tena safari hii nitawajibu "rekebisheni kwanza mtandao wenu ndio nihamie huko 4g mana kama hiyo 3g tu niyakuunga unga vipi huko 4g"