Pamoja na network yao kusumbua lakini kuna jambo nimeliexperience kuhusu hii ishu ya simu kutopatikana ilhali ipo hewani na inayofanana na hii.
Nakubaliana na mdau aliyesema hapo juu kwamba ni tatizo la 4G.
USHAURI;-
Usiweke manual 4G, bali weka Automatic kwa sababu unaweza ukaweka 4G only halafu kumbe sehemu uliyopo haisupport hyo 4G.